Wewe mwalimu vp maslahi yako! Au bdo umenuna kukosa ajira za sensa!❤️it
🤣Mbona sikuomba mkuuWewe mwalimu vp maslahi yako! Au bdo umenuna kukosa ajira za sensa!
CHADEMA WILL NEVER PROVIDE A PRESIDENT IN THIS COUNTRY. NEVER. I REPEATE NEVER EVER. MARK MY WORDS.Ushabiki wa soka: Mimi ni SIMBA kindakindaki.. Naamini katika kutokata tamaa na kutoshindwa.. Na hii ni sifa ya mnyama SIMBA[emoji7]
Mwanamuziki wangu bora wa bongo fleva: Diamond Platnumz.. Anajiita SIMBA.. Haaamini kwenye kushindwa na kukatishwa tamaa.. Alipotoa Tatizo kwetu Mbagala nilimtabiria kufika mbali.. SIKUKOSEA..! [emoji7]
Kwenye maslahi ya kisiasa imani yangu iko CHADEMA! Hapa ndipo kwenye think tank ya nchi na ya taifa..! Bila hiki chama maisha yangekuwa magumu mara elfu kuliko hata sasaa.. Jicho langu la kiroho linaona CHADEMA kikiwa ndani ya jumba jeupe..[emoji7]
Mungu ibariki CHADEMA[emoji7]
Mungu mbariki Diamond[emoji7]
Mungu ibariki SIMBA[emoji7]
MIMI SIO KUNGUNI..[emoji23]
View attachment 2329737
WEWE JEE..?
🤣Mbona sikuomba mkuu
Pole,Naona unatamani uniumize ila unajitesa bure kulazimisha jibu liwe Sawa nawe.Kiufupi sikuomba mkuuTunajua fika uliomba ila ukakosa vp maslahi yako wewe ni team mdhunguuu au utopoloo!
Pole,Naona unatamani uniumize ila unajitesa bure kulazimisha jibu liwe Sawa nawe.Kiufupi sikuomba mkuu
Pole sana,jitahidi Kuwa mwanaume hata kidogo bas,unajichora sana.Kuniganda Kwa kitu ulichokianzisha mwenyewe ...Hilo ni tatizo.Tafadhali,tafadhaliHizo ni insecurities zako toyeye! Kiufupi uliomba ila unabisha ili uniumize na mimi. Nasiumii mkuu.
Mshana bwana🤣🤣Ushabiki wa soka: Mimi ni SIMBA kindakindaki.. Naamini katika kutokata tamaa na kutoshindwa.. Na hii ni sifa ya mnyama SIMBA[emoji7]
Mwanamuziki wangu bora wa bongo fleva: Diamond Platnumz.. Anajiita SIMBA.. Haaamini kwenye kushindwa na kukatishwa tamaa.. Alipotoa Tatizo kwetu Mbagala nilimtabiria kufika mbali.. SIKUKOSEA..! [emoji7]
Kwenye maslahi ya kisiasa imani yangu iko CHADEMA! Hapa ndipo kwenye think tank ya nchi na ya taifa..! Bila hiki chama maisha yangekuwa magumu mara elfu kuliko hata sasaa.. Jicho langu la kiroho linaona CHADEMA kikiwa ndani ya jumba jeupe..[emoji7]
Mungu ibariki CHADEMA[emoji7]
Mungu mbariki Diamond[emoji7]
Mungu ibariki SIMBA[emoji7]
MIMI SIO KUNGUNI..[emoji23]
View attachment 2329737
WEWE JEE..?
Hii combination ni Balaa
Kaaa! Umepotea sana MwifaSina Usimba wala Uyanga