Maslahi yangu nayaweka wazi leo

Maslahi yangu nayaweka wazi leo

Ushabiki wa soka: Mimi ni SIMBA kindakindaki.. Naamini katika kutokata tamaa na kutoshindwa.. Na hii ni sifa ya mnyama SIMBA[emoji7]
Mwanamuziki wangu bora wa bongo fleva: Diamond Platnumz.. Anajiita SIMBA.. Haaamini kwenye kushindwa na kukatishwa tamaa.. Alipotoa Tatizo kwetu Mbagala nilimtabiria kufika mbali.. SIKUKOSEA..! [emoji7]

Kwenye maslahi ya kisiasa imani yangu iko CHADEMA! Hapa ndipo kwenye think tank ya nchi na ya taifa..! Bila hiki chama maisha yangekuwa magumu mara elfu kuliko hata sasaa.. Jicho langu la kiroho linaona CHADEMA kikiwa ndani ya jumba jeupe..[emoji7]

Mungu ibariki CHADEMA[emoji7]
Mungu mbariki Diamond[emoji7]
Mungu ibariki SIMBA[emoji7]

MIMI SIO KUNGUNI..[emoji23]

View attachment 2329737

WEWE JEE..?
Hapo kwenye soka ndipo ilipo tofauti yetu..!! Kuwa KOLO over my dead body
 
Yanga.
Arsenal
Really Madrid

SINA CHAMA, sitaki kuwa na chama na sioni mantiki ya kuwa na chama. Natamani kungekuwa na wagombea binafsi, vyama ni sehemu na magenge ya kifedhuli tu ya kunyonya wananchi.
Naichukia CCM ila akija mtu anajielewa naenda nae, huyu anayejielewa akiweza kubadilisha KATIBA tukawa na tume HURU, atakuwa the best president baada ya Nyerere. Tumechoka kuwa na katiba ambayo raisi ni mungu.

Nampenda Mungu ila dini zinanichanganya, uwepo wa Mungu bado ni kitendawili kwangu.

Sinywi pombe ila nakunywa wine[emoji1787][emoji1787][emoji1787], sijawahi kunywa bia maisha yangu.

Handyman, husband, sichepuki[emoji1787][emoji1787],

Mfalme Suleiman mwenyewe alikuwa na masuria 300 licha ya kuwa na wake halali 700
 
Hapo kwenye soka ndipo ilipo tofauti yetu..!! Kuwa KOLO over my dead body
Screenshot_20220821-142504.jpg
 
Nampenda Mungu ila dini zinanichanganya, uwepo wa Mungu bado ni kitendawili kwangu.

Sinywi pombe ila nakunywa wine[emoji1787][emoji1787][emoji1787], sijawahi kunywa bia maisha yangu.

Handyman, husband, sichepuki[emoji1787][emoji1787],

Mfalme Suleiman mwenyewe alikuwa na masuria 300 licha ya kuwa na wake halali 700
Hahaha, noma mzee..lwa hiyo unabariki uchepukaji.
 
Simba fc.
Chelsea fc.
Formula one.
Rally Championship.
Boxing.
CCM.
God fearing.
Naipenda sana nchi yangu.
Mzalendo.
Nachukia ufisadi.
Nachukia sana mtu anayekandamiza haki za wengine.
Sipendi watu wasio waaminifu.
Sipendi waongo waongo.
Napenda wanawake wazuri na hasa wenye mahipsi makubwa kama Kajala vile.
Hivyo viwili vinavyofuatia Boxing huwa haviendi pamoja... It's either this or the other one..
 
You looking aged but unamwandiko wa mtu mwenye 20yrs

Hiyo inaitwa kusoma ndani ya maandishi...

Sawa na ule msemo, wana macho ila hawaoni...

Wana masikio ila hawasikii....

Nashukuru Mshana amenisaidia kukuelewesha.
 
Mimi ni Rasta kama njia yangu ya imani uzimani, sishabikii mpira

Muziki/ napenda South African Gospel music na Reggae

Sipendi siasa lakini kwa sababu naishi nao basi bado naamini hao CCM wanaweza kuongoza nchi kuliko hawa wengine, japo wanapungufu yao makubwa lakini bado ndiyo wenye uwezo huo, naamini upinzani ni kitu kibaya kwenye nchi kwa sababu upinzani wa kweli ni uasi kama ule wa kina Savimbi, na si huu wa kwenda jumba jeupe kunywa juice na mkuu

MUNGU ibariki Afrika
MUNGU mrehemu Peter Tosh & Robert Nestor Marley
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yanga.
Arsenal
Really Madrid

SINA CHAMA, sitaki kuwa na chama na sioni mantiki ya kuwa na chama. Natamani kungekuwa na wagombea binafsi, vyama ni sehemu na magenge ya kifedhuli tu ya kunyonya wananchi.
Naichukia CCM ila akija mtu anajielewa naenda nae, huyu anayejielewa akiweza kubadilisha KATIBA tukawa na tume HURU, atakuwa the best president baada ya Nyerere. Tumechoka kuwa na katiba ambayo raisi ni mungu.

Nampenda Mungu ila dini zinanichanganya, uwepo wa Mungu bado ni kitendawili kwangu.

Sinywi pombe ila nakunywa wine[emoji1787][emoji1787][emoji1787], sijawahi kunywa bia maisha yangu.

Handyman, husband, sichepuki[emoji1787][emoji1787],
Uko kama mm Ila tofauti Nikua namukubali magufuli
 
Back
Top Bottom