Maslahi yangu nayaweka wazi leo

Maslahi yangu nayaweka wazi leo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Ushabiki wa soka: Mimi ni SIMBA kindakindaki.. Naamini katika kutokata tamaa na kutoshindwa.. Na hii ni sifa ya mnyama SIMBA[emoji7]
Mwanamuziki wangu bora wa bongo fleva: Diamond Platnumz.. Anajiita SIMBA.. Haaamini kwenye kushindwa na kukatishwa tamaa.. Alipotoa Tatizo kwetu Mbagala nilimtabiria kufika mbali.. SIKUKOSEA..! [emoji7]

Kwenye maslahi ya kisiasa imani yangu iko CHADEMA! Hapa ndipo kwenye think tank ya nchi na ya taifa..! Bila hiki chama maisha yangekuwa magumu mara elfu kuliko hata sasaa.. Jicho langu la kiroho linaona CHADEMA kikiwa ndani ya jumba jeupe..[emoji7]

Mungu ibariki CHADEMA[emoji7]
Mungu mbariki Diamond[emoji7]
Mungu ibariki SIMBA[emoji7]

MIMI SIO KUNGUNI..[emoji23]

View attachment 2329737

WEWE JEE..?
 
Screenshot_20220820-212309.jpg
 
Umevunja ukimya. Tukutane kwenye ukombozi wa nchi hii:

Kama nchi tuko vibaya, nani mwenye kubeba dhima ya ukombozi wetu?

Hatuwezi kuacha haya hivi hadi kurudi kwa Messiah mara ya pili.
 
Simba fc.
Chelsea fc.
Formula one.
Rally Championship.
Boxing.
CCM.
God fearing.
Naipenda sana nchi yangu.
Mzalendo.
Nachukia ufisadi.
Nachukia sana mtu anayekandamiza haki za wengine.
Sipendi watu wasio waaminifu.
Sipendi waongo waongo.
Napenda wanawake wazuri na hasa wenye mahipsi makubwa kama Kajala vile.
 
God fearing.
Naipenda sana nchi yangu.
Mzalendo.
Nachukia ufisadi.
Nachukia sana mtu anayekandamiza haki za wengine.
Sipendi watu wasio waaminifu.
Sipendi waongo waongo.[emoji818][emoji817]
 
Back
Top Bottom