kuna sifa zingine mbona ujazisema CATHOLIC SEXUAL ABUSE SCANDAL, watoto wengi wameliwa tìg....ulaya, afrìca, latin america,caribbean, wewe umesoma seminary gani?
Tusiwalaumu waislamu wote jamani, hao r just ignorant minority wanaoendeshwa na siasa za maji taka za JK na ccm, huku mtaani kuna waislamu wengi tunaishi nao they r very positive ktk maswala ya kitaifa, thy r after real change hata wanawakana hao wanaojifanya kutoa hayo matamko
Kweli hili ni swali zuri sana maana kama kulipa Dowans ni tatizo la wote, wizi wa EPA ni tatizo la wote, mikopo ya vyuo vya elimu ya juu ni tatizo la wote....na haya ndio matatizo ya Tanzania ya leo. Sasa iweje kila yakihojiwa haya kuna watu wanasema yanalenga kudhulumu maslahi ya waislamu? Ni maslahi ya waislamu au maslahi ya wababaishaji wanaojificha kwenye kundi la viongozi ambao ni waislmu ndiyo yanagombewa.
Tusidanganyane hapa...kama tunatka kuishi vizuri Tanzania lazima tuishi kufuata sheria na kuheshimu dini za watu wote.
Tatizo sio waislamu, tatizo ni taasisi za kiislamu karibu zote zinaongozwa na watu wenye elimu ndogo sana na upeo finyu, na ndio maana hata mtu anapoushambulia ukristo lazima atalishambulia kanisa katoriki, kwa sababu kanisa katoliki limesheni wasomi na hauwezi kupata daraja la upadre kama hauna degree............, hawa hata tende huwa wanataka wapewe za msaada kutoka saudia, sasa mtu wa namna hiyo unategemea kichwani kwake kutasaria akili kweli?
tatizo kubwa kwa waislam ni kule kuona hawatakiwi na wakristu katika nafasi mbalimbali za kazi na uongozi wa nchi.popote alipo kiongozi muislam wakristu wanajitahid kumhujum lakin wanafanya hujma huku wakijificha kwenye vitu kama ufisadi nk.eg.matatizo ya wanafunzi wa vyuo yanafanana ktk vyuo vyote vya serikali nchini lakin ajabu ni vile tu vinavyoongozwa na wakuu waislam ndo viko na presha sana,unadhani ni kwa nini?mifano ni mingi
WaIslaam tatizo letu ni kwa nini Silaa kakosa kura? tunataka katiba mpya iweke wazi kuwa Silaa ndio rahisi wa halali nchi hii.
Tusiwalaumu waislamu wote jamani, hao r just ignorant minority wanaoendeshwa na siasa za maji taka za JK na ccm, huku mtaani kuna waislamu wengi tunaishi nao they r very positive ktk maswala ya kitaifa, thy r after real change hata wanawakana hao wanaojifanya kutoa hayo matamko
Siku moja nyani waliamua kupeleka kero zao katika kikao cha viumbe wote kuwa wanaonewa sana na wanadamu na hawana raha kabisa kwani kila eneo wategewa mitego. Mwanadamu katika utetezi alisema ametumia nguvu nyingi kulima mashamba ya mahindi. Kila alipokuta yameharibiwa aliumia sana. Mwisho ameamua kuweka mitego kukamata wezi wa mahindi. Kwa bahati mbaya kila mtego anakuta umemnasa nyani. Sasa kama waislamu walio katika nafasi mbali mbali wanalalamikiwa nashauri msikitini ongeza masomo ya uadilifu, usafi na kuridhika itasaidia sana. Hata hivyo hata makanisani bado hilo linahitajika maana mafisadi wengine ni wakristo nao wanasemwa vile vile. fikiri juu ya Lowaasa hivi wakristo wamemfubia macho? Andrew Chenge si watu wanamlalamikia vile vile. Wewe inakuuma kwa vile unaona na wako naye ameharibika. Hata angekuwa mtoto usingefurahi kusikia na mwanao naye ni mbakaji au mwizi. Lakini ukweli ni ukweli utajidanganya akibaka au kuiba ukasema majirani hawanipendi wanamsingizia mwanangu.tatizo kubwa kwa waislam ni kule kuona hawatakiwi na wakristu katika nafasi mbalimbali za kazi na uongozi wa nchi.popote alipo kiongozi muislam wakristu wanajitahid kumhujum lakin wanafanya hujma huku wakijificha kwenye vitu kama ufisadi nk.eg.matatizo ya wanafunzi wa vyuo yanafanana ktk vyuo vyote vya serikali nchini lakin ajabu ni vile tu vinavyoongozwa na wakuu waislam ndo viko na presha sana,unadhani ni kwa nini?mifano ni mingi
Inahusianaje na madai ya waislamu?
wengi wa waislam, wanadanganya sana na viongozi wao mafasiki wapambe wa kikwete na mafisadi wenzao wanaotumia mwavuli wa uislam kuichafua nchi yetu.
duuuu no coment!__________
__________