Maslahi ya waislam ni yapi hapa tanzania?

Kweli hili ni swali zuri sana maana kama kulipa Dowans ni tatizo la wote, wizi wa EPA ni tatizo la wote, mikopo ya vyuo vya elimu ya juu ni tatizo la wote....na haya ndio matatizo ya Tanzania ya leo. Sasa iweje kila yakihojiwa haya kuna watu wanasema yanalenga kudhulumu maslahi ya waislamu? Ni maslahi ya waislamu au maslahi ya wababaishaji wanaojificha kwenye kundi la viongozi ambao ni waislmu ndiyo yanagombewa.
Tusidanganyane hapa...kama tunatka kuishi vizuri Tanzania lazima tuishi kufuata sheria na kuheshimu dini za watu wote.
 
Tusiwalaumu waislamu wote jamani, hao r just ignorant minority wanaoendeshwa na siasa za maji taka za JK na ccm, huku mtaani kuna waislamu wengi tunaishi nao they r very positive ktk maswala ya kitaifa, thy r after real change hata wanawakana hao wanaojifanya kutoa hayo matamko
 
kuna sifa zingine mbona ujazisema CATHOLIC SEXUAL ABUSE SCANDAL, watoto wengi wameliwa tìg....ulaya, afrìca, latin america,caribbean, wewe umesoma seminary gani?

Inahusianaje na madai ya waislamu?
 
Tusiwalaumu waislamu wote jamani, hao r just ignorant minority wanaoendeshwa na siasa za maji taka za JK na ccm, huku mtaani kuna waislamu wengi tunaishi nao they r very positive ktk maswala ya kitaifa, thy r after real change hata wanawakana hao wanaojifanya kutoa hayo matamko

Waislamu huwa na double tongue, wanayoongea mitaani na misikitini tofauti!
 
Kweli hili ni swali zuri sana maana kama kulipa Dowans ni tatizo la wote, wizi wa EPA ni tatizo la wote, mikopo ya vyuo vya elimu ya juu ni tatizo la wote....na haya ndio matatizo ya Tanzania ya leo. Sasa iweje kila yakihojiwa haya kuna watu wanasema yanalenga kudhulumu maslahi ya waislamu? Ni maslahi ya waislamu au maslahi ya wababaishaji wanaojificha kwenye kundi la viongozi ambao ni waislmu ndiyo yanagombewa.
Tusidanganyane hapa...kama tunatka kuishi vizuri Tanzania lazima tuishi kufuata sheria na kuheshimu dini za watu wote.

Labda wanataka barabara, hospitali, visima, vyoo, nk vinavyohusu waislamu tu!
 
Tatizo sio waislamu, tatizo ni taasisi za kiislamu karibu zote zinaongozwa na watu wenye elimu ndogo sana na upeo finyu, na ndio maana hata mtu anapoushambulia ukristo lazima atalishambulia kanisa katoriki, kwa sababu kanisa katoliki limesheni wasomi na hauwezi kupata daraja la upadre kama hauna degree............, hawa hata tende huwa wanataka wapewe za msaada kutoka saudia, sasa mtu wa namna hiyo unategemea kichwani kwake kutasaria akili kweli?

Nafikiri hapa umegonga kwenye TARGET hatuwashambulii ndugu zetu ila inabidi waamke na kubadilika.
 
wengi wa waislam, wanadanganya sana na viongozi wao mafasiki wapambe wa kikwete na mafisadi wenzao wanaotumia mwavuli wa uislam kuichafua nchi yetu.
 
tatizo kubwa kwa waislam ni kule kuona hawatakiwi na wakristu katika nafasi mbalimbali za kazi na uongozi wa nchi.popote alipo kiongozi muislam wakristu wanajitahid kumhujum lakin wanafanya hujma huku wakijificha kwenye vitu kama ufisadi nk.eg.matatizo ya wanafunzi wa vyuo yanafanana ktk vyuo vyote vya serikali nchini lakin ajabu ni vile tu vinavyoongozwa na wakuu waislam ndo viko na presha sana,unadhani ni kwa nini?mifano ni mingi
 
Haaahaaa! Kwa tabia ya wakristu, hawana agenda za nyuma ya pazia hilo nina uhakika nalo. Uongozi mbovu huleta makundi na ndio chanzo cha wengi kudondoka maana kama unaongoza watu ukawagawa kwa udini au ukabila au kwa lolote lile, ujue fika utaishia kutengeneza matatizo yatakayokurudi mwenyewe siku moja. Wengi wa ndugu zangu wenye misukosuko hawana hekima. Wanadharau uwepo wa dini nyingine na wanafanya mambo kwa upendeleo. What do you expect? Na hizo asasi ambazo viongozi waislamu wanapigwa vita ni zipi?
Pengine itasaidia kujua vizuri hoja yako.....vinginevyo ni tatizo la kukosa hekima za kuongoza watu wote kwa usawa ambak kunaleta makundi yanayotingisha viongozi hao kila wakati.
 
WaIslaam tatizo letu ni kwa nini Silaa kakosa kura? tunataka katiba mpya iweke wazi kuwa Silaa ndio rahisi wa halali nchi hii.
 
tuongelee katiba, mikataba mibovu,umaskini wetu ,nk hapo ntapigana kutetea nchi yangu tz mpaka nife kwa maslahi ya taifa la kesho.
Ila udini??! Hichi ni kituko cha mwaka,kama bunge lilivofunguliwa. Ingekuwa nimeona kwenye PC yangu ningesema hoax.
 
UDINI TZ unapandikizwa na J K na sisim yake, jk anatabia ya kugonganisha watu, taasisi,hata viongozi wenzake ni mtu wa fitina na hatari kwa amani ya taifa letu.
 
Tusiwalaumu waislamu wote jamani, hao r just ignorant minority wanaoendeshwa na siasa za maji taka za JK na ccm, huku mtaani kuna waislamu wengi tunaishi nao they r very positive ktk maswala ya kitaifa, thy r after real change hata wanawakana hao wanaojifanya kutoa hayo matamko

You are deadright! na haya maswala ya udini yapo kwenye internet tu na kwa kina Jk sisi tunaopigika pamoja na matatizo ya kuumbiwa na wanadamu wenzetu hakuna hata mtu anataka kujua dini ya mwenzake even within the same family!
 
tatizo kubwa kwa waislam ni kule kuona hawatakiwi na wakristu katika nafasi mbalimbali za kazi na uongozi wa nchi.popote alipo kiongozi muislam wakristu wanajitahid kumhujum lakin wanafanya hujma huku wakijificha kwenye vitu kama ufisadi nk.eg.matatizo ya wanafunzi wa vyuo yanafanana ktk vyuo vyote vya serikali nchini lakin ajabu ni vile tu vinavyoongozwa na wakuu waislam ndo viko na presha sana,unadhani ni kwa nini?mifano ni mingi
Siku moja nyani waliamua kupeleka kero zao katika kikao cha viumbe wote kuwa wanaonewa sana na wanadamu na hawana raha kabisa kwani kila eneo wategewa mitego. Mwanadamu katika utetezi alisema ametumia nguvu nyingi kulima mashamba ya mahindi. Kila alipokuta yameharibiwa aliumia sana. Mwisho ameamua kuweka mitego kukamata wezi wa mahindi. Kwa bahati mbaya kila mtego anakuta umemnasa nyani. Sasa kama waislamu walio katika nafasi mbali mbali wanalalamikiwa nashauri msikitini ongeza masomo ya uadilifu, usafi na kuridhika itasaidia sana. Hata hivyo hata makanisani bado hilo linahitajika maana mafisadi wengine ni wakristo nao wanasemwa vile vile. fikiri juu ya Lowaasa hivi wakristo wamemfubia macho? Andrew Chenge si watu wanamlalamikia vile vile. Wewe inakuuma kwa vile unaona na wako naye ameharibika. Hata angekuwa mtoto usingefurahi kusikia na mwanao naye ni mbakaji au mwizi. Lakini ukweli ni ukweli utajidanganya akibaka au kuiba ukasema majirani hawanipendi wanamsingizia mwanangu.
 
wengi wa waislam, wanadanganya sana na viongozi wao mafasiki wapambe wa kikwete na mafisadi wenzao wanaotumia mwavuli wa uislam kuichafua nchi yetu.

Muone basalehe sasa uso unamwagika mafuta dogo basalehe unauza mwanao unapewa chumvi dogo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom