Tatizo sio waislamu, tatizo ni taasisi za kiislamu karibu zote zinaongozwa na watu wenye elimu ndogo sana na upeo finyu, na ndio maana hata mtu anapoushambulia ukristo lazima atalishambulia kanisa katoriki, kwa sababu kanisa katoliki limesheni wasomi na hauwezi kupata daraja la upadre kama hauna degree.
kwahiyo zimekuwepo chuki zisizo na msingi bila kujuwa kwamba baraza la maaskofu linapokutana ni sawa na jopo la maprofesa wa pale university, hapo ndipo tofauti kubwa inapoanzia, rakini shura ya maimamu inaweza kuongozwa na hata mtu alieishia darasa la nne, sifa kubwa ya kuwa kiongozi wa shura ya maimamu ni lazima uwe na cv ya kushiriki mapinduzi ya kung'oa viongozi mbalimbali katika misikiti tofauti.
Kimsingi hapa naomba nieleweke kwamba kuna wasomi waliobobea ambao ni waislamu lakini hawataki kujihusisha moja kwa moja na uongozi wa taasisi hizi za kiislamu, ndio maana wahindi ambao ni waislamu wa madhehebu ya ismailia wao mambo yao super na ukiwaeleza habari za mahakama ya kadhi au oic wanakuona mwehu na ni waislamu, ikumbukwe hakuna mwislamu zaidi kuliko mwislamu mwingine, hawa Ismailia ndio wanamiliki Aga Khan hospital na mashule mbalimbali ya kimataifa na wana mabenki ya kumwaga tu hapa Tanzania. mpaka hapo nadhani utakuwa umepata uelewa mzuri. Hawa wanajiita shura ya maimamu kinachowasumbuwa wao ni njaa tu hakuna kitu kingine, hawa hata tende huwa wanataka wapewe za msaada kutoka saudia, sasa mtu wa namna hiyo unategemea kichwani kwake kutasaria akili kweli?