Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
16,095
Reaction score
24,323
Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!

They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina haja ya kuweka some minimum limitations kwenye what do we allow to be imported as used products.
Kuna viatu vinaitwa mafua, yani ni serembua, vinauzwa elfu mbili tu na machinga wannunua na kuviwekea gundi na kuuza elfu 20 maeneo ya vyuo na kwenye baa usiku ili mteja asione sehemu zilizofanyiwa marekebisho.

tuna kiwanda cha BORA BORA, BATA BATA, MAGEREZA , WOSO ORIGINAL PRODUCTS, WALKAROO na vyengine kibao lakini tunaletewa makombo ambayo infact ni dampo na si kwamba wanatuletea ili kuvaa.

Sijagusia chupi za kike na chupi za kiume!
WhatsApp Image 2025-05-31 at 17.35.12.jpeg
 
View attachment 3352662
Si vyema kupiga picha watu na kuweka kwa mitandao ndugu bila ridhaa yao.
 
Hatuna uchumi wa kwenda kununua viatu vya huko BATABATA, WALKAROO na hao wengineo.

Kama wana viatu vya 3000-5000 tupeleke tukachukue.
 
Mkuu hao Maskini ndiyo wana tengeneza matajiri... Wana umuhimu sana katika Jamii.. ya Kiafrika..
Unajivunia maskini kuvaa chupi yenyen ukoko toka kwa mzungu wakati alipaswa kutengeneza chupi yake mpya?
Unajivunia kutumia makombo yaliyooza ya wazungu miaka 60 baada ya uhuru alafu hapo hapo mnajigamba mnaweza kujitegemea, ?
 
Kuna siku niloongea na wauzaji wa Chupi na taulo wakasema wanayoyakuta humo ni bora zipigwe marufuku tu,watu wameacha vinyesi na damu za mwezi humo inabidi wafue au watupe tu
Fungus, UTI sugu na magonjwa ya ngozi tunapata huko alafu kuna maskini mmoja anajigamba kuwa hao ndio wanatengeneza matajiri.
 
Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!

They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina haja ya kuweka some minimum limitations kwenye what do we allow to be imported as used products.
Kuna viatu vinaitwa mafua, yani ni serembua, vinauzwa elfu mbili tu na machinga wannunua na kuviwekea gundi na kuuza elfu 20 maeneo ya vyuo na kwenye baa usiku ili mteja asione sehemu zilizofanyiwa marekebisho.

tuna kiwanda cha BORA BORA, BATA BATA, MAGEREZA , WOSO ORIGINAL PRODUCTS, WALKAROO na vyengine kibao lakini tunaletewa makombo ambayo infact ni dampo na si kwamba wanatuletea ili kuvaa.

Sijagusia chupi za kike na chupi za kiume!
View attachment 3352662
Uchumi wa Mama
 
Buguruni mataa nilishawahi nunua Boot ya Birkenstock kali mno kwa Tsh 4000. Hakikua na dosari yeyote zaidi ya vumbi tu.
Mimi sio tajiri lakini nina yakini sio maskini pia, mpaka leo boot ninayo na nilishawahi ikuta sehemu (nje ya Tz) inauzwa £250

Aliekula kande akashiba na aliekula pizza akashiba wote wameshiba.
 
Back
Top Bottom