Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
siku hizi sina raha.. na mke wangu nyumbani..
nirudipo nyumbani humkuta kajiinamia..
namuuliza mke wangu mbona umekasirika..
hushindwa kunijibu hubaki analia.
nazidi kumbembeleza sana mke wangu eeh..
mwishowe akaamua kunielezea..
ati anafahamu mambo yangu yote..
nifanyayo nikiwa kazini..
ati nina wanawake wengi sana mie..
iliobaki anataka tutengane..
nafikiri ni nani ampae maneno mke wangu..
nami sintokubali..
namsaka alshabab huyo..
........eh eh hembu kwanza babe............huu wimbo umeimbwa na bendi gani?