Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
kwa hiyo inamaana ya kwamba ndoa yao haiko tena?
oky acha nielewe kidogo kidogo na taratibu taratibu
kwani..........................................!!
Ayaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Ngoja nitarudi.......!:bange::bump2::flame::msela::target:
siku hizi sina raha.. na mke wangu nyumbani..
nirudipo nyumbani humkuta kajiinamia..
namuuliza mke wangu mbona umekasirika..
hushindwa kunijibu hubaki analia.
nazidi kumbembeleza sana mke wangu eeh..
mwishowe akaamua kunielezea..
ati anafahamu mambo yangu yote..
nifanyayo nikiwa kazini..
ati nina wanawake wengi sana mie..
iliobaki anataka tutengane..
nafikiri ni nani ampae maneno mke wangu..
nami sintokubali..
namsaka alshabab huyo..
........ati?!?!?
Kashangae feri.....habari ndo hiyo, sosoliso katamka hakutaki tena,huelewi?
Barafu wa moyo, pilipili ya maini roast yangu, umekimbizwa mjini na madeni?
kweli umbea kazi................mpaka mtu akesha!!!
wakati sie tumelala....tunapumuliana!!! :A S 39::A S 39::A S 39:
We huoni nimempotezea honey? Ndio dawa yao tu sasa!!!!
ningekushangaa sana kama ungeamini maneno yake maana undani wangu wewe ndio waujua... tuendelee kuwapotezea mpaka wajishangaeWe huoni nimempotezea honey? Ndio dawa yao tu sasa!!!!
ningekushangaa sana kama ungeamini maneno yake maana undani wangu wewe ndio waujua... tuendelee kuwapotezea mpaka wajishangae
hata wewe tunakkupotezea! cc: laazizi ArushaoneLisemwalo lipo kama halipo laja siku ukimkuta LD analowa kwenye koki nadhani utazimia kama sio kupata kiharusi
Kashangae feri.....habari ndo hiyo, sosoliso katamka hakutaki tena,huelewi?
hahahaha kashangae wapi??????????????? umemweza sana huyo Paloma
Inaonekana una bifu na Paloma vipi mmechukuliana mabwana nini?