kabisa honey mimi ni wewe na wewe ni mimi katu nafsi zetu haziwezi dhuriana!!Labda Filipo na mkewe vivian. Mimi na mke wangu Lady doctor hatutafika huko. Afu wewe mumeo nani tena?
Labda Filipo na mkewe vivian. Mimi na mke wangu Lady doctor hatutafika huko.
Afu wewe mumeo nani tena?
Arushaone kaka yangu kagua kitanda vizuri nilishamsikia huyo Lady doctor akimwambia mtu humu kuwa yeye chini ya kitanda hakosi panga lililonolewa waweza likosa jiwe la Paloma ukaambulia pangakabisa honey mimi ni wewe na wewe ni mimi katu nafsi zetu haziwezi dhuriana!!
Arushaone kaka yangu kagua kitanda vizuri nilishamsikia huyo Lady doctor akimwambia mtu humu kuwa yeye chini ya kitanda hakosi panga lililonolewa waweza likosa jiwe la Paloma ukaambulia panga
Nivea kuna jambo analitaka.........
Arushaone kaka yangu kagua kitanda vizuri nilishamsikia huyo Lady doctor akimwambia mtu humu kuwa yeye chini ya kitanda hakosi panga lililonolewa waweza likosa jiwe la Paloma ukaambulia panga
hahahah lakini mbona umemfanyia hivyo mwenzio paloma so offensive mie sosoliso wako wala simtaki sasa hivi ni kaka yangu wa damu ndio maana imeniuma