nimepona shem wangu!! thanks to Mungu
Nimjuavyo Filipo hapo anataka kote kote!
Kasichana kaongo haka,lol hakana mfano.......eti umeuteka moyo wangu wakati pembeni nanihii anakunawa...kha!Arushaone! Thank you for wonderful dedication and i am so grateful that your in my life, you make me feel like princess, you treat me like a woman longs to be treated, yaani sijutii kabisa kuwa na wewe mume wangu and i want you to know that, i love you more than anything in this world.... Umeuteka moyo wangu darling.
***THANK YOU VERY MUCH***