Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
ladyfurahia elewa kuwa Filipo ni mtu wa mke mmoja tu. Hawezi hata siku moja akawa na wake wawili at the same time ila baada ya kutemwa na mkewe wa zamani marejesho ambaye ameolewa na St. Paka Mweusi, ndio ameamua kumuoa mrembo vivian na ametulia naye kabisa.
Last edited by a moderator: