Albert Msando
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,019
- 171
Fundisho, tukiamua tunaweza, tusipoamua hatuwezi!
na Kuna ile kesi ya mauaji ya kimapenzi ya ASHA MKWIZU, nani anaikumbuka humu?, nayo ilikuwa hot kweli that time
Kesi ya Sara Martin Simbaulanga aka Khadija Kimbau, ukiingalia kiundani ilikuwa imejaa Mapenzi zaidi ya maendeleo binafsi, ilikuwa inaonekana yule mama alikuwa ameisha kabisa kwa Toroha M Toroha na ndie aliyekuwa mastermind wa ile move yote
Wengi walichosahau ni the love story behind yule mdada aisee..
hahahah usinchekeshe miye...alimuua hawara ya mumewe...siyo mumewe!Mkwizu alikuwa jasili sana alimuuwa mumewe na kumzika....hata sikumbuki vizuri habari zilikuwa kwenye gazeti la mzalendo yale makubwa. Licha ya kuonekana alikuwa na ugonjwa wa akili mahakama kuu ilimuhukumu kifo.
hahahah usinchekeshe miye...alimuua hawara ya mumewe...siyo mumewe!
Kama sisahau ustaadhi mwinyi alimpa msamaha kabla hajaondoka kwenye jengo jeupe
Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika.. Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona aliwahi kidogo tu..
ipi mkuu!? Mbona unatoa story nusunusu? Please give us more details, otherwise hiyo thread itakuwa haikidhi viwango vya kuwa hapa jukwaani maana inalipa kundi flani (la wakongwe) fursa ya kujadili huku ikiziba kabisa mianya ya wengine (chipukizi) kuchangia chochote.
Nilikuwepo pale kisutu wakati ule dk. Lamwai alipotoa maelezo ya mwisho ya kumtetea mama huyu ambapo mama yake sarah alikuwa amekaa kiti cha mbele na sarah kizimbani. Umahiri wa maelezo ya dk. Lamwai ulikuwa na mvuto wa ajabu,korti ilitulia kimya ajabu.very touching story,huyu mama walimdaka hapo kenya ,na vile vigari viliozea pale central.hakim hakumwonea huruma,tuliokuwepo tulimwonea huruma wote.
Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika.. Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona aliwahi kidogo tu..
ukishawajua ndio nini:coffee:tujuzeni jamani alikuwa nani na alifanya nini katika historia ya nchi yetu.
na Kuna ile kesi ya mauaji ya kimapenzi ya ASHA MKWIZU, nani anaikumbuka humu?, nayo ilikuwa hot kweli that time