Maskini Salmin Amour! MUNGU AKUPE NGUVU

yule mmachame siku nyingi kwisa ondoka baada ya mzee kustaafu akaona u 1st lady umekwisha ngoja ajiondokee zake ,radio mbao zinasema alikuwa na hekalu mikocheni ndiko anakoishi hata yule kaka yake brazameni wa pale bungoni ilala nae kapotea baada ya ushemeji kuota mbawa

nani mudy kasu!!!
Labda yupo kitandani
anaugua asee!!
 
kuna kaka yake mmoja brazameni wa ukweli alikuwa anaitwa muddy alikuwa anaishi mitaa ya bungoni ilala naye haonekani siku hizi,enzi zile shemeji yupo madarakani jamaa alitikisa sana pande ya jiji la maraha d'salaama siku hizi kimyaaa sijui kunani

ngoma mchezo!!
 
1.alifukuza kazi watumishi wengi wa serikali bila sababu ya msingi.

2. Alivunja nyumba za watu maskini ambao hawakumchagua katika uchaguzi wa mwaka 1995. Baadhi walikufa kwa presha.

3.aliwaweka ndani wanachama wa cuf akiwatuhumu kuwa ni mahaini. Alipoenda kuombwa awaachie huru akasema kuwa wale ni watu na si mapapai kama yataoza.

4. Enzi za utawala wake ilikuwa kupigwa virungu na askari ni jambo la kawaida.

don tell me
kumbe shem
alikuwa magumash
loh
 
Komandoo amechoka sana,,

Hata hivyo kwangu mimi anabaki kuwa ni RAIS pekee wa Zanzibar (ukiondoa Karume senior) aliekua na sera nzuri kwa Zanzibar

Nikweli alitumia mabavu zaidi kuwakandamiza wapinzani wake,, lakini lazima tukubali kwamba kwa SIASA za Zanzibar za wakati ule mabavu yalikua na nafasi kubwa
 
heee sisemi !!!!!!!!
hilo jimama lilikuwa mtambo,
haliwezi kusema no!!!!
aliolewa na salmini baada ya kuachwa huko ars,
alikuwa na watoto wawili wakati,komandoo anamuoa
basi komandoo akajiona kapataa
bila kuelewa ni mfupa uliomshinda fisi !
!!!!!!!! sasa mr president
a.k.a dr
a.k.a komandoo
akiwa kwenye mambo ya kikazi!!!!
mama anaruka ukuta anaenda ku duu

kwakweli kunguru hafugiki
na huo ukoo wake wooote
uliteketea baada
ya salma kuwa 1st lady
manake walijiona wao ndo wao
wakavuruga wanawake weeeeee
pale moshi miembe mitatu wakidhani
ukimwi unajali kuwa wao ni shemeji
za komandoo
matokeo yake
wakavuta kwa speed ile ile
sasa nyumbani kumebaki
mfanyakazi tuuuuuu

tetesi ile ilikuwa changudoa - watu nao bwana!! - Raza anasemaje huko aliko. pole komandoo
 
Kuna kaka yake mmoja brazameni wa ukweli alikuwa anaitwa Muddy alikuwa anaishi mitaa ya Bungoni Ilala naye haonekani siku hizi,enzi zile shemeji yupo madarakani jamaa alitikisa sana pande ya jiji la maraha D'salaama siku hizi kimyaaa sijui kunani
UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA!i
 
Nampa pole sana Komandoo. Nakumbuka jinsi alivyowasweka ndani wafuasi wa CUF 'Ngangari' kwa madai hewa ya uhaini. Nadhani wafuasi wa CUF aliowaweka lupango wanafurahia hali aliyonayo sasa, japo si waziwazi. Inasikitisha sana.
 
jf sasaaaaa!! Duh

rashid kawawa alikuwa hapigwi bomba. Alikuwa ana wake wanna,watano,and a harem of girl friemds,kama unabisha,waulize mwananchi guest house iliyopo jamhuri street. Hiyo habari kama ni kweli,you should decide what to do. Lakini kama ni uongo ,bora uiondoe kudumisha integrity ya hizi discussions.
 
Komandoo sasa yamemkuta, hizo zote ni laana za mungu kwa kufuru zake.
Huyu mtu naskia baada ya kuingia madarakani alisema ndo mwisho wa kushika tasbihi. Aliwavunjia watu wengi nyumba zao. Aliwatukana wapemba kwa kuwaita mbwa (alitumiwa kueneza chuki iyo), matokeo yake wazee wamekaa chini, wakapiga sala wakamuomba mungu awalipie hapahapa duniani, matokeo yake ndo yule pale atembea na vigongo na haoni huku wife wake Salma akiwa amemkimbia! Karume na yeye ili kumkomesha akamkatia umeme lakini msela wake gadafi akamletea generator! Yani karume amempokonya almost everything!! Wat goes around comes back around!
Mimi simpi pongezi hata moja komandoo huyu, alikua wakulaaniwa tu, ila saivi ni kumuachia mola tena!
 
madhila aliyowafanyia wananchi wenzake wa Zanzibar analipa hapa duniani! huyu jamaa kwa ushirikiano na Ghalib Bilal waliongoza moja ya serikali katili ktk historia ya Zanzibar. CCM ni wasahulifu sana, mtu kama Bilal hakutakiwa kupewa uongozi wowote ktk JMT kutokana na vitendo vya kihuni,kibabe na kijambazi ambavyo waliwafanyia wapinzani wao wa kisiasa huko Zanzibar.
 
Huyu Salmin Amour nakumbuka alipokuwa madarakani alikuwa Jeuri sana kama alivyo Mkulu wa Magogoni. Na wakati anagombea alikuwa bado hajaoa, alikuja oa kabla ya kuapishwa Urais. Kuipinga CUF alikuwa tayari kubadilisha Katiba ya Zenj ili aongeze humula wa tatu.

Ashakum si matusi
Wasiojali haki za raia tohora huanza hapahapa duniani
 
Mungu haripi mbali kubwa tumuombee kwn nadhni na yeye anajuta alivyo tenda alitumia wakati na madaraka vibaya pole amour nilisoma na mwanaye
 
Mungu haripi mbali kubwa tumuombee kwn nadhni na yeye anajuta alivyo tenda alitumia wakati na madaraka vibaya pole amour nilisoma na mwanaye
hajutii mabaya aliyotenda ndiyo maana hajawahi omba msamaha kwa wananchi waliotaabika wakati wa utawala wake.
 
madhila aliyowafanyia wananchi wenzake wa Zanzibar analipa hapa duniani! huyu jamaa kwa ushirikiano na Ghalib Bilal waliongoza moja ya serikali katili ktk historia ya Zanzibar. CCM ni wasahulifu sana, mtu kama Bilal hakutakiwa kupewa uongozi wowote ktk JMT kutokana na vitendo vya kihuni,kibabe na kijambazi ambavyo waliwafanyia wapinzani wao wa kisiasa huko Zanzibar.

Miongoni mwa madhila aliyofanya ni kumtoa korokoroni Seif Sharifu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom