Maskini Salmin Amour! MUNGU AKUPE NGUVU

Waje kwenu?! Wapi?! Kwa David Cameron?!, hii sentesi yako inaweza ikapindisha mada, tafadhari inyooshe vizuri.

wala usihangaike kujiuliza sana mkuu. Udini umetamalaki ktk post hii
 
mwanangu usifike huko mpwa
yaani mkewe aliwekwa ndani na kijana mmoja aisee kama mamayake mzazi naamini hayupo nae tena aisee

Ndo uliyokuwa unayatafuta haya mkuu. Hivi hapo ulipo roho yako kwatuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
kunani hali ya A. Jumbe mkuu!
Huyu Mzee wana hana hali... kinachoskikitisha zaidi ni kuwa serikali haitaki kumsamehe na kumsaidia. Ameanza kuugua miaka mingi sana na yuko pale kigamboni kama mwana mpweke, yaani familia yake imeachwa imhudumie yenyewe kana kwamba hakuwa kiongozi wa kitaifa. na hali ya afya yake ni mbaya sana
 
UNAMMAANISHA SALMA?? HUYU MAMA NAYE KWAO WANAKUFA NDUGU ZAKE KARIBU WOTE WAMEKUFA SIJUI NI NINI? HAPA KWAO PAMEBAK HOUSEGIRL TU , PAMECHAKAA HUWEZI AMINI KM NI NYUMBANI KWA MKE WA RAIS, ngoja niache umbea

Funguka banaaa! Mbona unatukata stimuuu?? Aaah!
 
Huyu Mzee wana hana hali... kinachoskikitisha zaidi ni kuwa serikali haitaki kumsamehe na kumsaidia. Ameanza kuugua miaka mingi sana na yuko pale kigamboni kama mwana mpweke, yaani familia yake imeachwa imhudumie yenyewe kana kwamba hakuwa kiongozi wa kitaifa. na hali ya afya yake ni mbaya sana

Ok. Mungu amsaidie, magamba wana hasira naye kwa kutaka kwake kuvunja muungano huyo. Na hivi machapisho yake yanavyozidi kufanyiwa marejeo ya kuhalalisha kuvunja muungano, ni kama hasira za magamba zinazaliwa upya dhidi yake
 
Huyu Mzee wana hana hali... kinachoskikitisha zaidi ni kuwa serikali haitaki kumsamehe na kumsaidia. Ameanza kuugua miaka mingi sana na yuko pale kigamboni kama mwana mpweke, yaani familia yake imeachwa imhudumie yenyewe kana kwamba hakuwa kiongozi wa kitaifa. na hali ya afya yake ni mbaya sana

Daah! Inasikitisha sana aisee!
 
Huyu Mzee wana hana hali... kinachoskikitisha zaidi ni kuwa serikali haitaki kumsamehe na kumsaidia. Ameanza kuugua miaka mingi sana na yuko pale kigamboni kama mwana mpweke, yaani familia yake imeachwa imhudumie yenyewe kana kwamba hakuwa kiongozi wa kitaifa. na hali ya afya yake ni mbaya sana

Acha uongo Mkuu, Jumbe anaudumiwa na Serekali 24X7.
 
Pole sana komandoo! Nakumbuka sana ulivyotamani kubadili katiba ili urudi tena katika mjengo!
 
komandu si nimeskia wagamba wanamwandaa awe rais wa tanzania?. Pole komando,sie tunajua tuna komando mbili tu tz. Wewe na hamza kalala
 
Jamani wapendwa
nimemwona mh wetu rais wa zamani wa zanzibar mh salmini amour
akiwa anaongozwa na kifimbo hakika nikahuzunika sana sana
nilipouliza jamani kuna nini ndipo nikajuzwa maskini haoni amekuwa hivyo muda kidogo
mwisho namtakia heri hata akishindwa kuona vingine basi vya kitandani aone
kila lal kheri baba

Kamandoo? Haoni tena? Can't believe this. Mkuu tuwekee picha
 
Huyo ndo komando,mke wake alikuwa bomba kweli,sijui kwa nini waliachana
Salma Salmini alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu anaehusishwa na Muamar Gadaffi, kama si yeye mwenyewe ni mwanawe, na alianzia tangu wakiwa madarakani manake Kamandoo alikuwa rafiki wa Gadaffi au japo alikuwa anajipendekeza sana kwake.
Labda dhambi ya kuua bandari ya Zanzibar nayo inamwaadhibu, mnakumbuka enzi zile watu wanafurika toka Tanganyika kuja kukomba vitu bei chee Zanzibar? hiyo iliisha mwanzoni mwa miaka 2000 Salmini alipotaka Bandari Huru ya Zanzibar (out ya bandari za Tanzania) kwa hiyo bandari ya zanzibar peke ya haina uwezo wa kujiendesha au kuleta meli kubwa peke yake moja kwa moja.
 
KWENYE KIZAZI CHA HUYU MAMA KUNA KITU AISEE si bure.

shukuru MUNGU ULITOA MAHARI UKAKIMBIA TUNGEKUWA TUMEKUHIFADHI OLDMOSHI SAA HIZI UNGEKUWA UANACHAT NA JF PART 2.SUPER MOD NYERERE,,ASST,MWAIBABILE NA KAWAWA ....ULISOMA NYAKATI KWELI NDIO MAANA NASEMA KAMA MUNGU AMEKUPANGIA NEEMA NI NEEMA TU LEO SIJUI TUNGEKUPATAJE MPWA
 
pole sana komandoo! Nakumbuka sana ulivyotamani kubadili katiba ili urudi tena katika mjengo!

na angerudi tena wangemkoma aisee labda wangempofusha miguu...natumaini sehemu zingine akiangalia anaona hapo ndipo mungu anaponifurahisha bana ,,,hata kwa kupapasa mwisho anaona
napita tu jamani
usikumwema
wako
kim didy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom