Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
dah kabla hujafa hujaumbika yule mke wake wa zamani atakuwa anahusika
aaah kwanini useme
mke wa zamani anahusika!???
Duh jamaa alioa
mtaani kwetu pale
moshi ,kwakweli
tulizamia pilau
manake alikuwa akitia
maguu pale anafunga
mtaa pilau na kalimati za kumwaga
dah pole jirani