Maskini Mustafa Hassanali

This guy inasemekana alifanya gastric bypass surgery and maybe he has eating disorder huwezi jua. I hope he will get better.

mustafa1.jpg mustafa2.jpg
 
Maana miaka ya nyuma kidogo nilivyomuona na sasa inanipa wasiwasi mie mwenzenu... Wembamba huu ambao kila siku naona kama unaongezeka nini? , Maana kama ni diet, hata mie ningetaka wakati nikija kuwa mnene.

Inaonekana wembamba wake unakusumbua sana hadi unalalama kwa machungu namna hiyo. Why not hook up with him badala ya kulialia nyikani bila mpangilio. Mwenyewe atakupa "full story", and maybe even more if you're up to it...if you's a dude that is...
 
kuna kipindi humuhumu jf aliwahi kuomba ushuri wa kupunguza uzito nafikiri alizingatia ushauri aliopewa maana hata mimi nilivyouona huo wembamba kutoka kiloba mpaka kijiloba nikasema toba 2much kujichakachua.
 
Kinyau you are right! alifanyiwa minor sugery India na kutolewa mafuta. Nafikiri ni katika harakati za kuhakikisha hamkosi yule dada yetu wa kibongo ambaye ni Mrembo na mwanamuziki wa R&B ambaye asili yake ni kanda ya ziwa.
 
Mustafa alifanya operation nchini india ya kutoa mafuta hivyo kitambi kikaondoka chote na sasa ana control aina ya vyakula anavyokula
 
Kama huna hela basi mtu waweza kufa, coz nahisi hiyo surgery lazima itakuwa na masharti...CC maskini tutakufa, wenye hela watapona
We acha tu, mungu lakini hua analijua hilo, ndo maana maskini wanakula zao ugali matembele, nyama kwa wiki mara moja aah huezi kuta wamevimbiana kama hao wanaofakamia, mamikate, dengu, mi kuku mi chips, hawafanyi hata mazoezi, matokeo yake ni hayo, zina watoka pesa.
 
Kinyau you are right! alifanyiwa minor sugery India na kutolewa mafuta. Nafikiri ni katika harakati za kuhakikisha hamkosi yule dada yetu wa kibongo ambaye ni Mrembo na mwanamuziki wa R&B ambaye asili yake ni kanda ya ziwa.

u must be jokin.....joka la kibisa halinaga madhara!chanzo cha diet yake ni kuhakikisha hampotezi anayemuhemea kisogoni f.y.i
 
Kinyau you are right! alifanyiwa minor sugery India na kutolewa mafuta. Nafikiri ni katika harakati za kuhakikisha hamkosi yule dada yetu wa kibongo ambaye ni Mrembo na mwanamuziki wa R&B ambaye asili yake ni kanda ya ziwa.

mh tangu lini DADA akamkosa dada
 
nilisikia anamchukua miss mmoja maharufu ndo kamwambia apungue. Kenda South kufanya operation. Sina uhakika ila kwa alivyopungua faster itakuwa surgery kama si mgonjwa
 
duh....hebu nisaidie hiyo recipe ya dayati......nataka nipunguze juu tuu huku chini niachie nitajimudu

Ina maana upunguze juu kichwani au wapi dada yangu sijakuelewa au kwenye breast. Leave breast alone usifanye hivyo kama huna tatizo sehemu nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom