Maskini Mustafa Hassanali

inafanyika wapi jamani hiki kitu wengine tumelemewa huku......naombeni na cost zake ili nijiweke kamili......
Preta Unataka kuwa njiti?Mbona Ubonge wako unaendana na Ufupi ulionao.Si unajua Uzito na Urefu vinamata sana!
 
Vipi ndugu mbona umeuliza kwa wasiwasi mkubwa? Au katika pitapita yako 'ulionana' nae na 'kumjua' sasa una wasiwasi inawezekana anaishi kwa mat...ni?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom