Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Status
Not open for further replies.
Ooh.... Hali tete.... Tena wala si shwari.... Mpaka naanza kupungukiwa mzuka wa kutokea pande hizi R.I.S Chimbuvu (Rest In Servers)
 
Last edited by a moderator:
Naendelea kuwakumbusha tena na tena...achaneni na threads za watu wasio waungwana
...otherwise labda wenzangu mna ID's nyingine kwamba wakiziba huku mnazibua kule.
 
Mpwa moderators ni watu kama sisi, kama wao wanaona nasi pia tunaona...kuna wavurugaji jukwaa wanaanzisha nyuzi na tunazishadadia...mwisho wa siku watu wanaishia kupelekwa Lupango.
Tukianza kuzipotezea threada za namna hiyo ndio itakua Tiba ya hili gonjwa!!!

Ina maana moderators hawaoni hao virusi wanaochafua hali ya hewa?
 
Last edited by a moderator:
Yaani watu wanapigwa ban kila siku kwa ajili ya mtu mmoja tu????
Nimeahirisha hata kutuma pesa yangu ya kuchangia JF . . . .mpaka nitakapojifikiria tena!

CC AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Nimekumiss ujue patna...leo si tunawakilisha kule maeneo eenh!!!

Yaani watu wanapigwa ban kila siku kwa ajili ya mtu mmoja tu????
Nimeahirisha hata kutuma pesa yangu ya kuchangia JF . . . .mpaka nitakapojifikiria tena!

CC AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom