Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Status
Not open for further replies.
Nicas Mtei bora jukwaa la utambulisho kule unaishia kusema karibu, unakaribishwa, hakuna majadiliano ila FB huko waachie watoto wa secondary bana
Siasani ndo balaa kabisa kule nikitembelea nahisi kama kichwa kinaanza kuuma
Madame B bila suluhisho humu watu wataendelea kula ban za nguvu aise
 
Last edited by a moderator:
Najilipua nimechoka maisha haya MzunguMndali kua mstaarabu au moderator uliupata kwa bahati mbaya? Mbona unawanyima wenzako raha? Kah! Madame B njoo mie nitakufariji hadi kaka yangu atapo kua huru.
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei bora jukwaa la utambulisho kule unaishia kusema karibu, unakaribishwa, hakuna majadiliano ila FB huko waachie watoto wa secondary bana
Siasani ndo balaa kabisa kule nikitembelea nahisi kama kichwa kinaanza kuuma
Madame B bila suluhisho humu watu wataendelea kula ban za nguvu aise

Umeona e Mr Rocky,
Yani itabidi tutafute ufumbuzi maana hali mbaya CC.
Kama tuko siasani.
 
Last edited by a moderator:
Natamani sana kuwe na utaratibu wa kuwapiga ban wanaowasababishia wenzao!! Sina namna tu! Pole sana Chimbuvu!
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaona upo sahihi? Je, unafurahi watu wanavyo kuzonga zonga humu ndani.

Aah...inawezekana kuna mitazamo tunatofautiana;ila,je,ni ustaarabu kuporomosha matusi ya nguoni kwa mtu msiye kubaliana mtazamo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom