Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Si, sahihi kufanya ivyo, ila nawe kwanini uwe kichocheo cha mtu kutukana matusi? Sie, ni binadamu ukae ukijua na hisa zipo.
Ninakuomba umuombee msamaha Chimbuvu my brother atoke kwa moyo mkunjufu na wenye amani, tunapo koseana yatupasa kusameheana hadi maneno ya mungu yana tua amlu tufanye ivyo.
Ninakuomba umuombee msamaha Chimbuvu my brother atoke kwa moyo mkunjufu na wenye amani, tunapo koseana yatupasa kusameheana hadi maneno ya mungu yana tua amlu tufanye ivyo.
Aah...inawezekana kuna mitazamo tunatofautiana;ila,je,ni ustaarabu kuporomosha matusi ya nguoni kwa mtu msiye kubaliana mtazamo?
Last edited by a moderator: