Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Hitimisho ya mahusiano baina ya Chimbuvu na Madame B

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Mtaka cha uvunguni ni sharti ainame,mwenda kwao siku zote haogopi giza.
Mtu anatapika nyongo yake halafu anailamba tena anaangaliwa na mzee magumashi.
Mapenzi ni kama kitabu,mpaka usome maandishi ndiyo uweze kuelewa.
Unatakiwa uwe na mpenzi mmoja kama namba ya gari.
Eti lishawahi kutokea tuendelee kushuhudia mtu mwingine akilia,
kweli kikulacho ki nguoni mwako mzee magumashi.
Mbona hamkufikiria aliyeachwa ndani usingizi haupati na hana jinsi ya kutoka.
Ninawashukuru sana wote wenye matumaini ya kuona mahusiano haya yanavunjika kwa kuonyesha ukomavu wenu wa kufikiri ulioanzia mabegani mpaka kwenda chini na wala kichwa hakikushirikishwa.
Mzee magumashi subiri tukuwekee pilipili machoni ili ujue utamu wa chabo.
Kumbuka simba mwenda pole ndiye mla nyama,
kupamba kaburi hakumfanyi aliyekufa kutabasamu.
Sina mengi kwa kuwa mimi sio mwanasiasa,ambao hawajitokezi mpaka mzee magumashi alambwe ban utasikia 'NI UPEPO TU HUO UTAPITA TU'
mimi safari imenishinda,,
Madame B mke wangu nampenda.
Wa kwenda kujinyonga afanye hivyo akipenda.
Mimi na yeye kuachana mpaka Mungu akipenda,

Hizi ni salamu zako Erickb52 Baba V Hiroaki Akahoshi Ben Saanane Ritz Judgement Arushaone watu8 Arabela gfsonwin Evelyn Salt Chilli tedo Nasema Mamndenyi Mkuuzumbe charminglady
shem wa ukweli Nicas Mtei
Invisible C6 Ruttashobolwa Bishanga Deejay nasmile mzabzab Kipipi King'asti Filipo Donn tedo Kapolondo Free Thinker umm kulthum Paloma Mpole sana BADILI TABIA Asnam amu Babaubaya Vin Diesel Mr. ROCKY nk.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom