Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Maskini Mjomba Chimbuvu!!

Status
Not open for further replies.
Ohhh...
Mpenzi wangu na Mume wangu Kipenzi Chimbuvu umekwenda selo jamani!!
Asubuhi tumeagana vizuri kuwa unaenda kazini,kumbe ushapigana na watu huko na Umewekwa Selo ya BAN!!
Siamini masikio na macho yangu.
Huko uliko ujue nakupenda sana,na mwanao anakusalimu,ila ananyonya balaa.
Ni mimi Mkeo,
Madame B.

CC: Arushaone, Chilli, tedo na Chibolo.

Usihofu mpenzi, nitakua nakuliwaza kimtindo. Ila kwa kweli hili jukwaa lishakua kimeo sasa, bora nirudi zangu siasani.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana moderators hawaoni hao virusi wanaochafua hali ya hewa?

Wakati flani huwa nashawishika kufikiria kuwa Mods wanavizia watu wa kuwapiga ban kwa sababu kuna thread zinaanzishwa na Mods wanaona kabisa kuwa thread husika inalenga kukera watu flani wanaiacha hewani hadi wale waliokereka wachangie kwa jazba afu wawachape Ban then ndo wanaamua kuifunga thread
 
Nakubaliana na wewe, hivi mkitaka mod atolewe/ afukuzwe kazi kama member kuna hatua gani za kufuata?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom