maskini lulu

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia na yeye akateleza akaanguka ,kitu kingine lulu mpaka anakamatwa alikua hajui kama kanumba amekufa au la
 
Iacheni mahakama ifanye kazi yake jamani.....msiingilie uhuru wa mahakama huo ushahidi kama upo utatolewa mahakamani na wala si kwa huyo Ayo.
 
katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia na yeye akateleza akaanguka ,kitu kingine lulu mpaka anakamatwa alikua hajui kama kanumba amekufa au la

'kapigwa sana kaumia na ana majeraha' vpi aende kujirusha na maumivu na majeraha hayo angekimbilia hsp myb ingesound kdg HUYO Dr. Hana jipya.
 
sasa kwani kati ya kanumba na huyo lulu na ni anaestahili kusikitikiwa aliepoteza uhai? Au huyo aliekuepo magereza angali hali? Mwacheni akaekae magereza
bana
 
Kweli jamani, maskini Lulu, yupo ndani kwa suala la bahati mbaya. Ila Mwenyezi mungu si Athumani, mahakama itatenda kazi ki ukweli na hatimaye Lulu ataachiwa huru.

katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia na yeye akateleza akaanguka ,kitu kingine lulu mpaka anakamatwa alikua hajui kama kanumba amekufa au la
 
Mbona munaingilia kazi ya mahakana,letz wait huyo daktari nafkiri atakuwa msaada mzur atoe hayo hayo mahakamani.
 
Angalizo: Nina mashaka sana na huyu jamaa anayejiita daktari wa Kanumba, I seriously doubt him hata kama japo amesoma hata u - medical assistant!. I think ni imposter!.

Pale kwenye msiba niliongea nae akasema yeye alifika kwa K saa 7 usiku na alipompima aligundua ameshakufa!. Ila hakuwaambia aliowakuta ili wasishtuke!. Eti baada ya kujua K keshakufa, ni yeye ali valisha nguo na kuwadanganya waliopo wamuwahishe hospitali!. Hivi kweli ni vitendo vya professional doctor!.

Hiyo story ya L kupigwa sana na kujeruhiwa vibaya pia aliisema!. L alikutwa night club akijirusha!.

Kitu kikubwa kabisa na cha ajabu alichokifanya huyu anayejiita daktari wa K ni kitebdo cha kutoa siri za K na za wanawake wa K anaodai aliwatoa mimba za K kwa maelekezo ya K!. Nilichoka kabisa!.

Nawathibitishia kesi itakapo anza, mtalishuhudia hili la imposter kujifanya ni medical doctor !. Mkumbuke pia ni doctor huyu huyu ndio ameigiza movie ya mwisho ya K yeye akiact ni daktari!.

Pasco.
 
Pasco hata mimi namashaka sana na huyu mtu anayeitwa Dr. wa Kanumba,kuna mambo mengi sana ameeleza ni kama hadithi fulani isiyo na mtiririko wa mtu mwenye taaluma ya udakitari.Hapo alipokuwa amekataa kueleza Lulu alipo mpaka wakatumia extra skillz ili aseme alipo pamenishtua.Hii documentary inafichua mengi kama sio kuweka sintofahamu/way forward ya sakata zima. Mimi naweza sema kuwa L alihukumiwa na media bila kutoa mwanya wa kupata sakata zima.
 
huyo docta wa kugushi anazidi tu kuchangany mambo, kwa maelezo ya seth aliitwa wakti kanumba kaanguka tayari na kwa maelezo yake alimkuta ameshakufa sasa ilikuwaje akajua kuwa l alipigwa, me naona huyo dokta apuuzwe coz anatafuta nae umaarufu kwa kupitia tukio hilo kama atahitajika kwa ajili ya kuwa shahidi upande wa utetezi then ataitwa lakini kama hana lolote atoitwa, na kama ni shahidi atakiwi kuongea lolote lile kuhusu kesi nje ya mahakama.
 
Back
Top Bottom