Kati ya maajabu katika siasa ni ya chadema. Hawatambui matokeo ya urais halafu rais wanamtambua. Hii ni kali kama huamini kuwa hakushinda kwa halali basi ili takiwa asitambulike kama raisi halali. Wadau hebu tujadili hili. Sheria inasema rais akitangazwa basi. Lakini kutomtambua kwa namna yoyote kisiasa sheria haisemi chochote. Kinachosemwa rais wa nchi aheshimiwe. Kwa chadema peoples power hapa wanatuchanganya