Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Umepatia kabisa....nampa mke na hela juu...I just need my Evelyn Salt back...
nilikuonya uache ile tabia hukusikia mi sitaki!!!!!
Umepatia kabisa....nampa mke na hela juu...I just need my Evelyn Salt back...
Ban hii itasaidia ndoa ya Slave na Evelyn Salt isifungwe...I still have the chance ya kumrudisha mke wangu..
Vin Diesel forget about me!!!
ulijidai waipenda supa spoti kuliko mie, utajibeba.....
Tena kesho ni super sunday...uje tucheki game super sport then tucheze yetu...
aaah tena usinikumbushe kero zako, napigwa baridi daily upo tu umetoa mijicho kwenye supa spoti hebu niache mie!!!
Kwa ajili yako tv nitaitoa sadaka...nikuangalia wewe ni burudani tosha...
ungefanya hivo tangu enzi hizo nahitaji tungekuwa wote....
but nw umeshachelewa!
kwani ulifungwa na nati size gani? Vin DieselLegeza moyo wako my dear....
kwani ulifungwa na nati size gani? Vin Diesel
Umefungwa kwa minyororo yako ilojaa kutu....
sasa utaweza kweli kuikata minyororo kwa kutumia wembe?
Kucha tu zatosha...
Umefungwa kwa minyororo yako ilojaa kutu....
Naona mnakukuruka tu kwa kujiachia, is it because mwenyekiti hayupo, jitawaleni sana lakini anakuja jiandaeni kutoa majibu
Acha kutuzingua wewe!!!
ID Kumi kumi zinakusaidia nini?