Maskini Baba V!!!

Maskini Baba V!!!

mh! Mbona unakubali haraka hivyo kunani? Hapana ngoja nitafakuri kwanza nisije change kuku kwa ng'ombe.

Nakubalia haraka haraka maana namkumbuka Evelyn wangu...kubali deal hili fasta.
 
Last edited by a moderator:
Slave hapa siweze kugonga 'like' manake ndoa yangu na Vin Diesel iko mashakani nisijeongeza tabu zaidi.
Mamndenyi sogea nikunong'oneze. Mumeo Vin Diesel anawachumba kibao muda wowote wewe bakurutu utatupwa kuleee mwenzio sasa hivi anakomaa na vimchuchu anasema havimsumbuagi ktk kuhonga buku moja tu wiki nzima hakaombi tena. Hiyo ni siri yako usimwambie mtu.
 
Last edited by a moderator:
Slave ngumu kumeza.

Similar Discussions

Back
Top Bottom