Maskini Baba V!!!

Maskini Baba V!!!

Afu wewe bi shosti nakuangalia ujue, cha kunikashifia mume wangu inahuu....!!! taratibu bibie heshima ichukue mkondo wake kabla hajaparuriwa mtu humu

eeeeeh afadhali umetokea kwanza salama?mumeo hajambo huko jela?aaaaah hata usiniparue shoga angu, tulia kwanza, kunywa maji, shusha jazba af nije nikueleze taratibu kwa vituo.kwanza sina muda huo wa kumkashfu mumeo af sijamkashifu ujue mi nimeuliza kwa uzuri tu!NA NDIO MAANA KWENYE COMMENT YANGU YA MWANZO KUNA ALAMA ZA KUULIZA NA NIKAKUTA WEW UNIDHIBITISHIE AU NI UZUSHII WA MUANDISHI,Sa kashfa hapo iko wapi? mwambie muandishi siku ingine asiandike sentensi TATA aandike sentensi SAHIHI.tatizo liko kwa muandishi ukiniparua mimi na we utaparuriwa ooooh!!!!
 
ummu kulthum tafadhali bibie unaemsema hayo maneno ni mume wangu ujue nilozaa nae watoto saba na tuna wajukuu ma dazeni, kama kiswahili kimekushinda kuelewa hapo juu omba kamusi bibie na sio kukimbilia kumwaga makashfa hapa ndani...

mi hayo yote najua da shosti kwamba mumeo ni rijali haswa!tatizo hapo sio kamusi wala uelewa wangu wa kiswahili upo vipi? tatizo ni muandishi na hayo tunayaita makosa ya kiuandishi hata magazeti yetu huwa yanakosea na yanaomba radhi sasa sijui ni kwa nini muandishi wa huu uzi hajitokezi kuomba radhi hapa.sentensi TATA Huwa inamaswali mengi kuliko sentesi sahihi nimeshatolea hadi mfano tafuta utaona.ki ukweli familia yenu naipenda sana kwa kuwa mna maadili mema na mtarijie mshenga hivi karibun
 
Last edited by a moderator:
eeeeeh afadhali umetokea kwanza salama?mumeo hajambo huko jela?aaaaah hata usiniparue shoga angu, tulia kwanza, kunywa maji, shusha jazba af nije nikueleze taratibu kwa vituo.kwanza sina muda huo wa kumkashfu mumeo af sijamkashifu ujue mi nimeuliza kwa uzuri tu!NA NDIO MAANA KWENYE COMMENT YANGU YA MWANZO KUNA ALAMA ZA KUULIZA NA NIKAKUTA WEW UNIDHIBITISHIE AU NI UZUSHII WA MUANDISHI,Sa kashfa hapo iko wapi? mwambie muandishi siku ingine asiandike sentensi TATA aandike sentensi SAHIHI.tatizo liko kwa muandishi ukiniparua mimi na we utaparuriwa ooooh!!!!

Nye! Kimeshaumana hapa ...!!!!! nakaa mita mia yangu macho
 
Nye! Kimeshaumana hapa ...!!!!! nakaa mita mia yangu macho

usiogope sogea karibu uwe unaturushia news maana wakisha anza kuparuana hapo baadae itakapo kuwa kesi tutahitaji shahidi.
 
usiogope sogea karibu uwe unaturushia news maana wakisha anza kuparuana hapo baadae itakapo kuwa kesi tutahitaji shahidi.

tunamaneno tu ndugu yangu vitendo hatuna nani aparure mapokezi si mtatukimbia humu
 
Ban hii itasaidia ndoa ya Slave na Evelyn Salt isifungwe...I still have the chance ya kumrudisha mke wangu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom