Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

NI kiboko ya magaidi . Anawachapa kiboko na kuwa carot.
Idiots.png
 
Kwa hiyo nimekuunguza? nilijua utajilipua tuu mwehu wewe. Nilijuwa hata hiyo kiri ya wazungu hujailewa walisema wana makosa na makosa gani. Huwa hamna maadili ya kuwafanya hata muwe binadamu.
Binaadamu ni hawa walio mtohoa huyu jamaa ! Nicholas
Yesu Msalabani.jpg
 
Sisi tunaona nguvu ya soko haijashindwa, kwao nguvu ya soko wanaiona inaenda kuua himaya yao, wanakuja na kitu kinachoitwa 'economic development'. Wamemtengeneza Tadaro, wanaanzisha kozi vyuo vikuu, watazifuta public administartion na watakuja na public management, mkazo utawekwa kwenye pro poor policies, viongozi wengi wa dunia ya tatu wataonekana hawafai na watu wao, baada ya hapo nini kitatokea ngoja tusubiri na tuone.
...Ndio maana masoko ya mitaji yanafungwa? Commodity markets are been vacated? Makampuni yana delist, na hamna new IPOs? Investment banking inakufa? Kina nani wanaona nguvu ya soko inaua himaya yao, hawa wanao negotiate TPP?

...Kila kitu utakachoongea kuhusu uchumi, kitahusika au ni subset ya economic development. Amartya Sen would agree with this. Do you know, the New Deal projects were pro poor?

...Unataka kusema, Mobutu alionekana anafaa?
 
NATO walifanya nini Libya !? ...... mpaka OBAMA amekiri na ame coonfess kwamba the great mistake of his time, was to eliminate Gaddafi. Au ...hujui ?
...Are you serious? NATO ndio wanapigana Libya?

...Simply unasema, Gaddafi alishika akili za watu kule, na kaondoka nazo, sio?

...Wanajibomoa wenyewe!
 
Sie bado tunasubiri sukari ya BURE hatuioni, na yeye tumtumbue kwa kutoa ahadi HEWA?!
Sukari na simliz hii haviendan,kama huna cha kuchangia ni bora ukapisha wenye maoni mazuri wakaendelea na mjadala huu sensitive ndugu
 
...Ndio maana masoko ya mitaji yanafungwa? Commodity markets are been vacated? Makampuni yana delist, na hamna new IPOs? Investment banking inakufa? Kina nani wanaona nguvu ya soko inaua himaya yao, hawa wanao negotiate TPP?

...Kila kitu utakachoongea kuhusu uchumi, kitahusika au ni subset ya economic development. Amartya Sen would agree with this. Do you know, the New Deal projects were pro poor?

...Unataka kusema, Mobutu alionekana anafaa?

Pole, nimekuwa nikichanganya economic development na development economic.....

Kuhusu Mobutu, yes alikuwa mzuri na anafaa kwa watu kama atakavyokuwa Moise Katumbi. Hahahahaha! Kufungwa kwa makampuni hapana ila kutakuwa na ongezeko la corporate social responsiblity na hata watu wengine kufanyiwa mpango wa kuweza kununua tu hisa katika makampuni kuondoa yale makali ya ubepari moja kwa moja. Ubepari hautakuwa tena unyama, utakuwa rafiki, njia kuu za uchumi zitamilikiwa na wengi kupitia masoko ya hisa

Actually nazungumzia development economic kama inavyo tetewa na akina Amrtya Sen. Development economic kwa sasa katika dunia ya kwanza ndio mfumo unaotangazwa kuwa bora kuliko centralized kind of economy na neoclassical economy. Ukiutazama kwa makini ni kama vile unachanganya elements kutoka mifumo miwili ya uchumi kama anavyotushawishi Tadaro

Development economics, to a greater extent than traditional neoclassical economics or even political economy, must be concerned with the economic, cultural, and political requirements for effecting rapid structural and institutional transformations of entire societies in a manner that will most efficiently bring the fruits of economic progress to the broadest segments of their populations. It must focus on the mechanisms that keep families, regions, and even entire nations in poverty traps, in which past poverty causes future poverty, and on the most effective strategies for breaking out of these traps. Consequently, a larger government role and some degree of coordinated economic decision making directed toward transforming the economy are usually viewed as essential components of development economics. Yet this must somehow be achieved despite the fact that both governments and markets typically function less well in the developing world.

Umezungumzia New Deal, mimi mawazo yangu New Deal ilionekana kwa nje kama pro poor, yes, labda ulikuwa pro poor lakini kwa misingi ya kuwaimarisha wawe wazalishaji wazuri na soko zuri la bidhaa.Kwa maana nyingine iliwaandaa watu wawe na afya nzuri ya kukamuliwa.

Amartya Sen na wenzake katika development economic na katika "capability approach" hawaulaani ubepari moja kwa moja,wao wanaona hajaya kuwa uchumi unaowahudumia watu hasa katika huduma za jamii na kuwafanya watu wawe na furaha. Ukuaji wa uchumi na utajiri unaowaacha hoi watu kwao hauna maana.

Washington consensus and other consensus that followed ziliona kuna umuhimu wa kuwahudumia watu masikini lakini pia ziliona ugumu wa uchumi wa soko kuendelea kuwepo kama ukifuata taratibu za kihalali na za kisheria.Nilikuwa nasoma hapa uzuri wa uchumi wa soko kama una taasisi za checks and balances nzuri. Uchumi wa soko unahitaji checks and balance pia?

Markets accomplish many positive things, not least of which is delivering goods that consumers want, where and when they want them, and providing incentives for innovation. Amartya Sen has pointed out that to be generically against markets is almost as strange as to be generically against conversations. As he says, some conversations do harm, even to those doing the conversing, but this is not a reason to be against conversations in general.

To underpin a well-functioning market system requires special social, institutional, legal, and cultural conditions often very limited if not absent in developing nations. Fraud, corruption, monopoly, and other market failures do not disappear with the wave of a magic neoclassical wand. Nathan Keyfitz and Robert Dorfman have identified 14 institutional and cultural requirements for the operation of effective private markets:

1. Trust (in banks, insurance companies, suppliers, etc.)
2. Law and order (enforcement of contracts)
3. Security of persons and of property
4. Balancing competition with cooperation (for a safe workplace and a cleaner environment)
5. Division of responsibility and diffusion of power (an independent judiciary)
6. Community altruism (a social “safety net” for the impaired, chronically unemployed, elderly, etc.)
7. Social mobility, legitimation of ambition, and toleration of competitiveness
8. Materialistic values as a stimulus to greater production
9. Deferring gratification to generate private savings
10. Rationality unconstrained by tradition
11. Honesty in government
12. Efficient forms of competition, as opposed to monopolistic control
13. Freedom of information (along with protection of privacy)
14. Flows of information without restrictions or favoritism

Given the existence of these institutional and cultural preconditions, a well functioning market system requires at least the following 11 market-facilitating legal and economic practices:

1. Property rights clearly established and demarcated; procedures for establishing property rights and transferring them
2. Commercial laws and courts to enforce them, especially contract and bankruptcy laws
3. Freedom to establish businesses in all sectors except those with significant externalities, without excessive licensing requirements; analogous freedom to enter trades and professions and to attain government offices (equal economic opportunity)
4. A stable currency and a reliable and efficient system for making transfers (a banking system)
5. Public supervision or operation of natural monopolies (industries with increasing returns to scale) as occurs in industries where technological efficiency requires that a firm be large enough to supply 10% to 15% of the national market 6. Provision of adequate information in every market about the characteristics of the products offered and the state of supply and demand, to both buyers and sellers
7. Autonomous tastes—protection of consumers’ preferences from influence by producers and purveyors
8. Public management of externalities (both harmful and beneficial) and provision of public goods
9. Instruments for executing stabilizing monetary and fiscal policies
10. Safety nets—provisions for maintaining adequate consumption for individuals affected by certain economic misfortunes, especially involuntary unemployment, industrial injuries, and work disabilities
11. Encouragement of innovation, in particular, issuance and enforcement of patents and copyrights

It is clear that market reforms involve much more than merely eliminating price distortions, privatizing public enterprises, and declaring markets free. The setbacks to market reforms in many transition economies is in no small
measure attributable to the absence of some (or many) of the institutional preconditions and market practices. Thus governments have important limits, and so do markets, as the earlier review of market failures makes clear. Again, the question is one of balance. This is reflected in the move away from the once-dominant “Washington Consensus.”
 
Kuhusu Mobutu, yes alikuwa mzuri na anafaa kwa watu kama atakavyokuwa Moise Katumbi. Hahahahaha! Kufungwa kwa makampuni hapana ila kutakuwa na ongezeko la corporate social responsiblity na hata watu wengine kufanyiwa mpango wa kuweza kununua tu hisa katika makampuni kuondoa yale makali ya ubepari moja kwa moja. Ubepari hautakuwa tena unyama, utakuwa rafiki, njia kuu za uchumi zitamilikiwa na wengi kupitia masoko ya hisa
...Moise, prezida ya Katanga! Aina Vile!

...Ni kweli. And still, uchumi wa soko utatawala. Hamna mfumo bora wa ku allocate resources kama huu, kwasasa and in the near future.

Umezungumzia New Deal, mimi mawazo yangu New Deal ilionekana kwa nje kama pro poor, yes, labda ulikuwa pro poor lakini kwa misingi ya kuwaimarisha wawe wazalishaji wazuri na soko zuri la bidhaa.Kwa maana nyingine iliwaandaa watu wawe na afya nzuri ya kukamuliwa.
...Siku zote, uwe maskini au tajiri, utauziwa bidhaa tu. Bora uwe na hali nzuri, ununue nyingi zaidi. Faida kwa wote. Nadhani unanielewa.

Amartya Sen na wenzake katika development economic na katika "capability approach" hawaulaani ubepari moja kwa moja,wao wanaona haja ya kuwa uchumi unaowahudumia watu hasa katika huduma za jamii na kuwafanya watu wawe na furaha. Ukuaji wa uchumi na utajiri unaowaacha hoi watu kwao hauna maana.
...Uchumi huo, hujengwa kwa watu kuzalisha, serikali kukusanya kodi na kuboresha huduma za jamii.

...Siku zote, issue haijawa economic growth -watu naive au liars, ndio hujikita kwenye growth numbers- bali how "equitable" that growth is. Ndio maana, US huwa wanaangalia employment numbers, wage per hour, quality of work, consumer spending, n.k.

Washington consensus and other consensus that followed ziliona kuna umuhimu wa kuwahudumia watu masikini lakini pia ziliona ugumu wa uchumi wa soko kuendelea kuwepo kama ukifuata taratibu za kihalali na za kisheria.Nilikuwa nasoma hapa uzuri wa uchumi wa soko kama una taasisi za checks and balances nzuri. Uchumi wa soko unahitaji checks and balance pia?
...Taratibu za kihalali na kisheria, zinawekwa na hao hao wenye kulea uchumi wa soko. Utafuata, kwa kusimamiwa, maana ndio zinaoufanya uwe na maana, otherwise it'll be chaos.

...Laws and Regulations? Ndio. Ukipata muda -kama hujazisoma- pitia cases za Standard Oil na Microsoft, juu ya monopoly and antitrust practices.
 
...Are you serious? NATO ndio wanapigana Libya?

...Simply unasema, Gaddafi alishika akili za watu kule, na kaondoka nazo, sio?

...Wanajibomoa wenyewe!
DAR si LAMU
Iran and USA.JPG

Angalia hapo juu Majeshi ya 'Magharibi' yalivyojaa katika Nchi zenye WAislaam wengi !

Rebels and weapon from western.JPG
 
Hayo ndio mazungumzo mliyokuwa mnataka. Nao wamewapata. Kitu yenu ya kusikia kinachofaa akili na kitu yenu ndio hukimbilia.
 
Hayo ndio mazungumzo mliyokuwa mnataka. Nao wamewapata. Kiu yenu ya kusikia kinachofaa akili na kiu yenu ndio hukimbilia.Haha sikuwa nimekosea kuwashngaa tangu mwanzo. Kumbe ndio mnachotafuta kuchochea shida zenu.
 
Nyerere kwa akili za kijamaa na mafundisho yake ya kusaidia masikini hawezi ona shida. Ktk uhasilia masikini nae anatakiwa kuwa responsible. Wajamaa wanawalaumnu mabepari kwa makosa ya ujamaa wao. Wajamaa hata siku moja hawana msaada kwa mabepari kwa vile siku zote wajamaa ni masikini.Ni masikini kuanzia ktk akili.

wajamaa wakiona mabepari wamefilisika wanashangilia, wao wakiwa na na njaa na haiwaishi, wanawalaumu wajamaa. Ukweli ni kwamba wajamaa hufanya kazi za hasara kwa vile hawa malengo wala uhasilia, sio watu honest kwa nafsi zao.

Ndg, unaelewa lakini unachokisema ama ndio mradi kuchangia tu. Kunyamaza pia ni hekima ya kawaida. Mfumo wa ujamaa hauwezi kufa wala kuzikwa. Mfumo wa ujamaa hupigwa vita kwa aina zote za hila. Hata ikiwezekana kuwauwa wote wanaosimamia huo mfumo.

Kumbuka wakati kabla Mwalimu hajafa, hatukuwai kuupokea uongozi wa ngazi za juu ya benki ya dunia. Nakumbuka kwa mara ya kwanza rais mkapa aliupokea ugeni wa rais wa benki ya dunia mwaka 2000 na walilala ktk hotel ya serena ya leo wakati huo ikiitwa sheraton.

Na kuanzia hapo ndipo ubinafsishaji wa mabenki na viwanda vya umma ukaanza. sasa hapo umefeli ujamaa ama waumini wa ujamaa ndio wamemalizwa? ujamaa ni kama roho ya uadilifu na ubepari ni roho ya uovu.Hivyo hii mifumo itasuguana kupitia waumini wake. lakini daima wema hushinda udhalimu.
 
I read Perkins.

Magufuli does not need any conspiracy. Just give him time. He will hang himself.
 
Ndg, unaelewa lakini unachokisema ama ndio mradi kuchangia tu. Kunyamaza pia ni hekima ya kawaida. Mfumo wa ujamaa hauwezi kufa wala kuzikwa. Mfumo wa ujamaa hupigwa vita kwa aina zote za hila. Hata ikiwezekana kuwauwa wote wanaosimamia huo mfumo.

Kumbuka wakati kabla Mwalimu hajafa, hatukuwai kuupokea uongozi wa ngazi za juu ya benki ya dunia. Nakumbuka kwa mara ya kwanza rais mkapa aliupokea ugeni wa rais wa benki ya dunia mwaka 2000 na walilala ktk hotel ya serena ya leo wakati huo ikiitwa sheraton.

Na kuanzia hapo ndipo ubinafsishaji wa mabenki na viwanda vya umma ukaanza. sasa hapo umefeli ujamaa ama waumini wa ujamaa ndio wamemalizwa? ujamaa ni kama roho ya uadilifu na ubepari ni roho ya uovu.Hivyo hii mifumo itasuguana kupitia waumini wake. lakini daima wema hushinda udhalimu.
Sijui anauangalia au kuufahamu ujamaa kwa kiwango gani, sijui ni kwa majani na matawi yake, hilo sijui ila nina uhakika haujui ujamaa kwa mizizi na na matunda yake.
Nadhani bado hajafahamu kuwa mifumo ya hifadhi ya ya kijamii na ile ya ki benki yote ni mifumo ya kijamaa. Hajafahamu kuwa nchi nyingi kubwa zinaigiza ubepari na zimejikita zaidi katika kuushikilia ujamaa, nyuma ya wafanyabiashara wengi wakubwa kuna serikali za nchi zao zikiwa ndiyo zimetoa mitaji mikubwa ya biashara hizo. Biashara hizi huwa hazithiliwi na familia za wafanyabiashara kwa maana ya family ownership. Maamuzi huwa mikononi mwa wanahisa. Usijeshangaa kukutana na wills/usia wa ajabu ajabu wa wamiliki hao kuhusiana kampuni hizo, usia unawaondoa family members.
Mfumo wa Ujamaa bado una nguvu na unazidi kuimarika kila uchao. Bahati mbaya ni kwamba hatujui kuwa unatumika kwa mbinu na hivyo tunabaki julaani kwa nguvu ujamaa au ubepari.
 
Ikiwa tunafahamu ya kuwa tunanyonywa, tunafahamu na njia zinazotumika kutunyonyea, na serikali zetu zinajua unyonyaji huu, sasa kwanin jumuiya kubwa kubwa kama (AU) umoja wa Afrika usisimamie sera zote za mikataba mibovu kama hii inayofahamika? kuwalaumu viongozi, ni makosa makubwa sababu bado tunaishi chini ya misingi ya katiba walizoziacha wanyonyaji (US,&EUROP COUNTRIES) na pia viongozi wetu wanaofia maisha yao kutokana na ubabe wa kiuchumi na teknolojia toka kwa wanyonyaji, sasa ikiwa tutakuwa na katiba imara hii itasaidia kwa viongozi wetu kujiamini, kwa sababu yeye awezikutoa maamuzi ambayo katiba inapinga.
 
Sijui anauangalia au kuufahamu ujamaa kwa kiwango gani, sijui ni kwa majani na mstawi yake, hilo sijui ila nina uhskika haujui ujamaa kwa mizizi na na matunda yake.
Nadhani bado hajagahamu kuwa mifumo ya hifadhi ya ya kijamii na ile ya ki benki yote ni mifumo ya kijamaa. Hajafahamu kuwa nyingi kubwa zinaigiza ubepari na zimejikita zaidi katika kuushikilia ujamaa, nyuma ya wafanyabiashara wengi wakubwa kuna serikali za nchi zao zikiwa ndiyo zimetoa mitaji mikubwa ya biashara hizo. Biashara hizi huwa hazithiwi na familia za wafanyabiashara kwa maana ya family ownership. Maamuzi huwa mikononi mwa wanahisa usijeshangaa kukutana na wills za ajabu ajabu.
Mfumo wa Ujamaa bado una ngyvu na unazudi kuimarika kila uchao. Bahati mbaya ni kwamba hatujui kuwa unatumika kwa mbinu na hivyo tunabaki julaani kwa nguvu ujamaa au ubepari.

Kwanza nakusihi jitahidi japo kuandika vyema ili uelekewe kwa urahisi unachotaka kutujuza. Pili soma vyema hitinisho langu kuwa "GOOD will always win over EVIL" pale nilipofananisha Ujamaa kuwa wema na Ubepari kuwa Uovu.
Hivyo NIKIDADISI kwa mbali maelezo yako naona hupingani nami bali unaendelea kusisitiza tu kuwa Ujamaa ndio mpango wenyewe. Isipokuwa hao waumini wake ndio wanaousaliti mfumo na kuuonyesha kama ni mfumo uliofeli kumbe wao ndio waliofeli.
 
Nadhani hujanielewa tu, andiko langu lina support mchango wako kwa asilimia mia moja. Soma vizuri.
 
Nadhani hujanielewa tu, andiko langu lina support mchango wako kwa asilimia mia moja. Soma vizuri.

Mempha na Consigliere wote mnazungumza kitu kimoja. Mmoja anasema ujamaa ni imani ndani ya mioyo na akili za watu, utaua taifa linalosema linasimamia ujamaa lakinu hautaua imani ya kijamaa. Mwingine anasema hata hayomataifa makubwa yanaojisifu kwa ubepari ukiyaangalia kwa umakini yanatekeleza ujamaa na huko yanakoelekea yanaufuata ujamaa. Hivyo hitimisho la kuwa ubaya utakwisha na wema utadumu ni hitimisho lenu wote kama nimejitahidi kuwaelewa
 
Back
Top Bottom