Huyo maguli wako hawezi kuwa mfano, hadi umtembeze kila mahali kutafuta wa kumfananisha? Hujaelewa kwanini mimi nilikuwa nanyamaza nilikuwa nakusiti tuu. Kagame ni dictator, kagame hana elimu kubwa, unatak aniendelee....Amka mwehu wewe.Kuliko kujipendekeza kwa magufuli kipumbavu hivi.Kamshauri namna ya kujinasua ktk issue ya sukari, na jinsi ya kuchagua mawawiri wasio walemavu wa ugonjwa wa ccm km wewe.
BADO UKUU WA WILAYA UMEBAKI? Kweli CCM ya hovyo, ndio unaamua kumpamba rais ktk mitandao kitoto namna hiyo?Akikupa kweli utakuwa umemmaliza.Duuuuuuuuuuuuuuuh. Yale yale..Haaaa haaaa