Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Ulofa tu wa jamaa yenu na kutaka sifa za kijinga. Huwezi kuwatenga wananchi katika vita ya uchumi. Maana yeye ndio anataka sifa na anajiona mwanadamu mwenye akili sana anasahau anaongoza nchi yenye watu. Unahitaji watu katika vita hii. Jamaa yenu kashakosea
 
Bahati mbaya sisi watanzania tuna uvivu wa kusoma, hivyo uvivu wa akili. Laiti tungemsoma hata Perkins tungekuwa katika nafasi nzuri ya kuifahamu dunia
 
Mleta hoja uko sawia.
Tanzania tuna wasomi wengi wa vyeti kwa ajili ya CV sio kwa ajili ya kufungua kifikra ili kuwa na economic model kwa ajili yetu.

Tanzania tuna bahati sana kupata #1 ambae shauku yeke ni kuona tunapiga hatua kusonga mbele.

Nakubaliana sana na John Perkins; mabeberu wako very objective kuhakikisha nchi zetu hizi muda wote zinakuwa enslaved na madeni yasiyolipika kwa mikopo inayotoka bank zao ila biashara ya ujenzi na usambazaji wa vifaa inafanywa na kampuni zao.

Sasa hata mchina nae kaiga mtindo huo huo.

EHM ni very very serious business ili kuhalikisha hatusogei.

Unless tutapata watu wenye akili mbadala ili kuja na good economic models ambazo zitainua uchumi wa Watanzania kupitia shughuli za kiuchumi tunazofanya
 
Tatizo watanzania hatupendi kutafuta taarifa za kutuwezesha kufikiri. Habari za Economic Hitmen zipo, wanachokitafuta kinahulikana na vile vile wanatabirika. Yeyote mwenye taarifa za ushindani wa kiuchumi duniani angetambua Tanzania ilivyokuwa chanzo cha malighafi kwa nchi za Ulaya na Matekani na China kama ilivyo Congo DRC. Kubadilika kwa urahisi was upatikanaji malighafi hizo hasa kwa US na mtoto wake Canada in wazi kumewaudhi US hivyo kuongezeka nguvu ya economic hitmen dhidi ya taifa. Watanzania wenye tamaa na hamu ya kupanda ndege na kulala hoteli za nyota tano, kupata visenti vya kujions was maana wanatumika.

Economic Hitmen na operesheni yao wameshika kasi, tufungue macho!
 
John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake cha Economic Hit Men, Perkins anaeleza mbinu mbalimbali hasa kupitia mitambo ya umeme na uzalishaji nishati kuzipa madeni makubwa na tozo kubwa nchi hizo kama njia ya kuzifilisi na kuzifanya tegemezi huku wakiongeza shida kwa wananchi. Richmond na Escrow vinawea kuwa mfano, jisomee!

resistir.info/livros/johnperkins_confessions_of_aneconomic_hit_man.pdf

Zaidi ya hapo John Perkins ameelezea namna ambavyo Economic Hit Men (EHM) hutumwa na serikali yao kupitia mashirika na makampuni mbalimbali makubwa kuwatapeli viongozi wa nci masikini waingie mikataba hiyo ya kitapeli. Perkins anasema wakishindwa kuwashawishi viongozi 'wagumu' mbinu ya kuwaua hutumika. Perkins ametoa mifano ya viongozi waliowahi kuliwa kwa njia mbalimbali na hata kupinduliwa.

Perkins anasema jaribio la kumuua likishindikana basi nchi husika hupelekewa vita. Mfano anaoutoa hapa ni wa Iraq kwa Saddam Hussein.

Ukisoma kitabu hicho cha Economic Hitman utakuta kabisa MCC ni moja ya mpango ulioandaliwa na Economic Hit Men. Perkins anasema nini hutokea endapo Economic Hit Men wakishindwa?

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to the presidents of two countries, men who had been my clients , whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos , president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental. They were assassinated because they opposed that fraternity of corporate , government, and banking heads whose goal is global empire . We EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d us, stepped in.

Perkins anaeleza wao ni akina nani, wanafanya nini na sababu iliyompelekea kuhatarisha maisha yake kuandika hiki kitabu.

That is what we EHMs do best: we build a global empire. We are an elite group of men and women who utilize international financia l organizations to foment conditions that make other nations subservient to the corporatocracy running our biggest corporations, ou r government, and our banks. Like our counterparts in the Mafia, EHMs provide favors. These take the form of loans to develop infrastructure — electric generating plants, highways, ports, airports, or industrial parks. A condition of such loans is that engineering an d construction companies from our own country must build all thes e projects. In essence, most of the money never leaves the United States; it is simply transferred from banking offices in Washington to engineering offices in New York, Houston, or San Francisco.

Najaribu kutafakari haya masimulizi ya Perkins kama yana ukweli na hatima ya msimamo wa rais Magufuli kwa U.S. Japo wengi wetu ni wavivu wa kusoma, kitabu hiki che Economic Hit Man kinafaa sana kusomwa hasa na watu wanaopenda kufikiri
Hao Hitman wakikutana na vinchi Kama tz vionavyoongozwa na chama dhaifu Kama ccm Ni hatari
 
Tatizo watanzania hatupendi kutafuta taarifa za kutuwezesha kufikiri. Habari za Economic Hitmen zipo, wanachokitafuta kinahulikana na vile vile wanatabirika. Yeyote mwenye taarifa za ushindani wa kiuchumi duniani angetambua Tanzania ilivyokuwa chanzo cha malighafi kwa nchi za Ulaya na Matekani na China kama ilivyo Congo DRC. Kubadilika kwa urahisi was upatikanaji malighafi hizo hasa kwa US na mtoto wake Canada in wazi kumewaudhi US hivyo kuongezeka nguvu ya economic hitmen dhidi ya taifa. Watanzania wenye tamaa na hamu ya kupanda ndege na kulala hoteli za nyota tano, kupata visenti vya kujions was maana wanatumika.

Economic Hitmen na operesheni yao wameshika kasi, tufungue macho!
Bila Katiba yenye taasisi imara sahau kuwashinda hitmen mkuu
 
Numbers don't lie unless an EHM produce them!
Jambo la msingi ni kujitoa katika dunia waliyokutengenezea. Unaweza kujiona unajua kumbe umetengenezwa uwe hivyo. Kama hujui umeshakuwa enslaved utaanzia wapi?
 
Magufuli tatizo lake ni mtu wa kutaka sifa na kupayuka hovyo.
Namshauri ni vizuri kukaa kimya maana anaweza kuvaa mtego.Hawa mabwana hawana mchezo na wanamtazama kwelikweli.
Mzee wa bongo fleva hubadilika kulingana na hali ya mazingira kwa dakika anawezakuwa zimwi na mara kuwa mtu kama amoeba fulani hivi hii ni tabia ya kijini hasa
 
John Perkins, kachero wa National Security Agancey (NSA) ya U. S anasimulia jinsi ambavyo US huzifanyia nchi masikini duniani ili kuweza kuzinyonya na kupata rasilimali zake. Katika kitabu chake cha Economic Hit Men, Perkins anaeleza mbinu mbalimbali hasa kupitia mitambo ya umeme na uzalishaji nishati kuzipa madeni makubwa na tozo kubwa nchi hizo kama njia ya kuzifilisi na kuzifanya tegemezi huku wakiongeza shida kwa wananchi. Richmond na Escrow vinawea kuwa mfano, jisomee!

resistir.info/livros/johnperkinsconfessions_of_aneconomichit_man.pdf

Zaidi ya hapo John Perkins ameelezea namna ambavyo Economic Hit Men (EHM) hutumwa na serikali yao kupitia mashirika na makampuni mbalimbali makubwa kuwatapeli viongozi wa nci masikini waingie mikataba hiyo ya kitapeli. Perkins anasema wakishindwa kuwashawishi viongozi 'wagumu' mbinu ya kuwaua hutumika. Perkins ametoa mifano ya viongozi waliowahi kuliwa kwa njia mbalimbali na hata kupinduliwa.

Perkins anasema jaribio la kumuua likishindikana basi nchi husika hupelekewa vita. Mfano anaoutoa hapa ni wa Iraq kwa Saddam Hussein.

Ukisoma kitabu hicho cha Economic Hitman utakuta kabisa MCC ni moja ya mpango ulioandaliwa na Economic Hit Men. Perkins anasema nini hutokea endapo Economic Hit Men wakishindwa?

I wrote that in 1982, as the beginning of a book with the working title, Conscience of an Economic Hit Man . The book was dedicated to the presidents of two countries, men who had been my clients , whom I respected and thought of as kindred spirits -- Jaime Roldos , president of Ecuador, and Omar Torrijos, president of Panama . Both had just died in fiery crashes. Their deaths were not accidental. They were assassinated because they opposed that fraternity of corporate , government, and banking heads whose goal is global empire . We EHMs failed to bring Roldos and Torrijos around, and the other typ e of hit men, the CIA-sanctioned jackals who were always right behin d us, stepped in.

Perkins anaeleza wao ni akina nani, wanafanya nini na sababu iliyompelekea kuhatarisha maisha yake kuandika hiki kitabu.

That is what we EHMs do best: we build a global empire. We are an elite group of men and women who utilize international financia l organizations to foment conditions that make other nations subservient to the corporatocracy running our biggest corporations, ou r government, and our banks. Like our counterparts in the Mafia, EHMs provide favors. These take the form of loans to develop infrastructure — electric generating plants, highways, ports, airports, or industrial parks. A condition of such loans is that engineering an d construction companies from our own country must build all thes e projects. In essence, most of the money never leaves the United States; it is simply transferred from banking offices in Washington to engineering offices in New York, Houston, or San Francisco.

Najaribu kutafakari haya masimulizi ya Perkins kama yana ukweli na hatima ya msimamo wa rais Magufuli kwa U.S. Japo wengi wetu ni wavivu wa kusoma, kitabu hiki che Economic Hit Man kinafaa sana kusomwa hasa na watu wanaopenda kufikiri
Hakuna jipya chini ya jua! Watu masikini Duniani bado tunaendelea kuwa mifugo ya nchi tajiri.

Wanatufuga na kutufanya watakacho wao. Hilo si jambo baya angalau.

Jambo baya kuliko ni watu masikini kutofahamu kuwa wao ni mifugo ifugwayo!
 
Tatizo watanzania hatupendi kutafuta taarifa za kutuwezesha kufikiri. Habari za Economic Hitmen zipo, wanachokitafuta kinahulikana na vile vile wanatabirika. Yeyote mwenye taarifa za ushindani wa kiuchumi duniani angetambua Tanzania ilivyokuwa chanzo cha malighafi kwa nchi za Ulaya na Matekani na China kama ilivyo Congo DRC. Kubadilika kwa urahisi was upatikanaji malighafi hizo hasa kwa US na mtoto wake Canada in wazi kumewaudhi US hivyo kuongezeka nguvu ya economic hitmen dhidi ya taifa. Watanzania wenye tamaa na hamu ya kupanda ndege na kulala hoteli za nyota tano, kupata visenti vya kujions was maana wanatumika.

Economic Hitmen na operesheni yao wameshika kasi, tufungue macho!
Acha ujinga,economic hitmen,waje bongo kwa lipi kubwa?
Richmond,meremeta,escrow,hizi skandali zote zimefsnywa na economic hitmen?watu wanaweka ndugu zao hazina Ili waibe,watu wanabaka Katiba na uchaguzi,haya yote yamefsnywa na hitmen?
Waafrika ni wepesi kusingizia na kulaumu sababu za nje kwa masaibu yao,lakini majanga Mengi Afrika yanaletwa na matendo ya ndani.
Rushwa,uzembe,ubadhirifu,
 
Wewe unajua sana! Hongera!
 
Hajielewi huyo
Acha ujinga,economic hitmen,waje bongo kwa lipi kubwa?
Richmond,meremeta,escrow,hizi skandali zote zimefsnywa na economic hitmen?watu wanaweka ndugu zao hazina Ili waibe,watu wanabaka Katiba na uchaguzi,haya yote yamefsnywa na hitmen?
Waafrika ni wepesi kusingizia na kulaumu sababu za nje kwa masaibu yao,lakini majanga Mengi Afrika yanaletwa na matendo ya ndani.
Rushwa,uzembe,ubadhirifu,
 
Economic Hitmen wamemaliza kazi, sasa wanaimarisha uchumi wa nchi zao na waliowasaidi...
 
Back
Top Bottom