Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Wewe boya kweli, umenipotezea muda tuu. Ila umethibitisha ninachosema mijamaa ni ya hovyo. Known facts zipi...amka mpuuzi wewe.Dunia in billions of known facts umejiuliza alichaguaje hizo alizokuja kulisha akili zakigaidi km zako?

Unadhani ni wewe tuu ndio huna maadili kiasi hicho? mifumo yote ya kigaidi, inayoendeshwa kwa kukuza hamu ya chuki na stupid curiosity huku wakitafuta kile kitu kinachohalalisha upumbavu wao hawana maadili km wewe, ila wenzio wengine wapo karibu zaidi na jehanum.Wengine huponea ktk mlango wa jehanum. Madai yao wanatetea watu wanaowaua, nchi wanayoibomoa, mfumo uliowatumikisha wakiaminishwa sio huo mfumo ndio shida ila wengine wanouonea wivu na kufanya hila. Hiyo ndio CCM.

Hivyo unasema Perkins ni bepari, anawandikia kitabu wajamaa, kitabu hiko hiko kitumike kuamsha hasira za watu kuwa magaidi ili wapambane na ubepari na kuleta maafa duniani. Hapo hapo unasema tena fdha zilizopatikana kwa kununua vitabu vitafidia hayo maafa. Sasa CCM inakujaje? Sasa CCM imetengenezwaje na hiyo theory yako? Je, CCM ni sehemu ya Perkins, au sehemu ya ujamaa au magaidi?
 
Wewe msukule wa ccm nikusaidie aje? kumbe kule mwanzo ulikuwa huelewi nakushauri rudi nyuma hadi nilipoanza kupost rudia kusoma ndipo uje hapa.

Pole sana nime ku bomb na details nyingi sana hata hujui wapi tena unaweza tetea aliyekufanya mhanga .
 
Wewew msukule wa ccm nikusaidie aje? kumbe kule mwanzo ulikuwa huelewi nakushauri rudi nyuma hadi nilipoanza kupost rudia kusoma ndipo uje hapa.

Pole sana nime ku bomb na details nyingi sana hata hujui wapi tena unaweza tetea aliyekufanya mhanga .

Nilijua utakimbia, ningeshangaa kama ungekuwa na cha kujibu. Nicholas hata kama una uchungu na mtu au kikundi cha watu ni vyema ukafahamu nguvu walizonazo hao unaotaka kuwakabili kabla ya kuanza kuwakabili. Jiweke vizuri kimaarifa katika baadhi ya hoja kabla ya kuanza kuzichangia maana mwishoni utajikuta unatetea ulilokuwa unalipinga, angalau kama uko vizuri kichwani, unaweza kujua umekosea.

Aisee umenikumbusha jamaa mmoja nilikutana nae Rombo Mkuu hapo uliposema "Wewew msukule wa ccm nikusaidie aje?|
 
Kwa sasa umefikia kusema kwaheri ila unajibaraguza km aliyefumaniwa. CCM bila dola hawana nguvu ya kifikra kuweza jitetea lets alone kujiangalia ktk kioo.
 
Sasa nitajadiliana nini na mtu mwenye akili lakini hatumii akili yake kujibu maswali yangu mimi mjinga ninayomuuliza ili nielewe. Mtu anayejadili kitabu ambacho hajawahi hata kukishika lakini Mungu kamjalia uwezo wa kujua kilichoandikwa. Mtu anaye jikontradict na anayetumia historia ya kidato cha nne kujenga hoja wakati mimi nimeishia darasa la saba? Ni wazi sina cha kujadili na mtu huyo, ninachoweza kufanya ni kumuuliza maswali tu. Sasa kama maswali yangu mtu mwenye akili kama wewe huwezi kuyajibu tuendelee na nini na mimi matusi siwezi.

Natamani ningekuwa na hamu ya kujadili siasa zenu za lazima uwe CCM au CHADEMA labda tungeelewana. Mimi mada kubwa kama hizo siziwezi. Mimi mada zangu ni hizi hizi za wajinga wajamaa. Kama unaweza tujadili unamfananishaje Rais Magufuli na Rais Omar Torrijos
 
Porojo tuu huna ktena cha kusema. haayo madarasa umeyajuaje ? Kwa akili yako unadhani mimi ni chadema,na wewe ndie ulinipa kadi. Akili zenu hizo za kushikiwa na mwenyekiti. Mpuuzi kweli unarudi kulekule km wehu wa ccm ktk lile Bunge la Escrow. Kwani lazima wafanane? HIVI WEWE MSUKULE UMEWAHI SOMA NOVEL IMEANDIKWA BASED ON TRUE STORY somewhere baada ya Title? Wanaweza wakatumia true character ktk untrue story, or combination of. Na mara nyingine wakajumlisha na rumours ili kujenga msingi ktk fikra zilizoanza jijenga kutokana na rumors. Watu wa mashariki ya kati na Africa are like to believe it as devine.
 
wajamaa hamna maadili yoyote ya kuwa watu. Unapenda ndio neno uliloona sahihi la kusema kumaanisha , UMEKUBALI HUNA pa kujinasua, zaidi ya kutaka ingiza vit vingine.How pathetically your brain works.

Huna Big idea yoyote wee mwehu, usichojua ni kwamba kujinasibu na maandiko yenye plan kubwa, hakukufanyi kuwa na plan kubwa, kwa uwezo wako mdogo ni km kumpa kichaa kiberiti karibu na petrol kwa vile ni haki yake kuvuta sigara. Wajamaa na magaidi wengine ni wakupima akili kabla ya kuruhusiwa kuwa karibu , watu wenye akili wakizungumza. Nao kwa kukosa adamu na maadili watajinasibu na kuanza jifanya ni wahubiri wazuri. Mwenyekiti wenu anajua kwamba tayari nyie ni potential terrorists, ndio maana mnapimiwa habari kwa kijiko.

I had just told her about Manuel Torres. He was an engineer employed by MAIN and one of the men recently attacked by guerrilla s at our hydroelectric dam construction site. Manuel was a Colombian citizen who had a job because of a U .S. Department of State rule prohibiting us from sending U.S. citizens to that site.

We referred to it as the Colombians are Expendable doctrine, and it symbolized an attitude I had grown to hate. My feelings toward such policies were making it increasingly difficult for me to live with myself.

"According to Manuel, they fired AK-47s into the air and at hi s feet," I told Paula.
"He sounded calm when he told me about it, but I know he was almost hysterical. They didn't shoot anyone. Just gave them that letter and sent them downriver in their boats ."
"My God," Paula exclaimed. "The poor man was terrified.
" "Of course he was." I told her that I had asked Manuel whether he thought they were FARC or M-I9, referring to two of the most infamous Colombian guerrilla groups.
"And?"
"He said, neither. But he told me that he believes what they sai d in that letter.
" Paula picked up the newspaper I had brought and read the letter aloud.
"`We, who work every day just to survive, swear on the blood of our ancestors that we will never allow dams across our rivers . We are simple Indians and mestizos, but we would rather die than stand b y as our land is flooded. We warn our Colombian brothers : stop working for the construction companies.– She set the paper down.
"What did you say to him? "
I hesitated, but only for a moment.
"I had no choice. I had to toe the company line. I asked him if he thought that sounds like a letter a farmer would write." She sat watching me, patiently.
"He just shrugged." Our eyes met. "Oh, Paula, I detest myself for playing this role ."
"What did you do next?" she pressed .
"I slammed my fist on the desk . I intimidated him. I asked him whether farmers with AK-47s made any sense to him. Then I asked if he knew who invented the AK-47."
"Did he?"
"Yes, but I could hardly hear his answer. A Russian,' he said. Of course, I assured him that he was right, that the inventor had bee n a Communist named Kalashnikov, a highly decorated officer in th e Red Army.
I brought him around to understand that the people who wrote that note were Communists."
"Do you believe that?" she asked . Her question stopped me .
How could I answer, honestly? I recalled Iran and the time Yamin described me as a man caught between two worlds, a man in the middle. In some ways, I wished I had been in that camp when the guerrillas attacked, or that I was one of the guerrillas . An odd feeling crept over me, a sort of jealousy for Yamin and Doc an d the Colombian rebels. These were men with convictions. They had chosen real worlds, not a no-man's territory somewhere between .
"I have a job to do," I said at last.
She smiled gently. "I hate it," I continued. I thought about the men whose image s had come to me so often over the years, Tom Paine and other Revolutionary War heroes, pirates and frontiersmen .
 
Porojo tuu huna ktena cha kusema. haayo madarasa umeyajuaje ? Kwa akili yako unadhani mimi ni chadema,na wewe ndie ulinipa kadi. Akili zenu hizo za kushikiwa na mwenyekiti. Mpuuzi kweli unarudi kulekule km wehu wa ccm ktk lile Bunge la Escrow. Kwani lazima wafanane? HIVI WEWE MSUKULE UMEWAHI SOMA NOVEL IMEANDIKWA BASED ON TRUE STORY somewhere baada ya Title? Wanaweza wakatumia true character ktk untrue story, or combination of.

Wewe ni bingwa wa red herring, usipotezee mada, nakuuliza unamfananishaje Magufuli na Torrijos?
 
I had just told her about Manuel Torres. He was an engineer employed by MAIN and one of the men recently attacked by guerrilla s at our hydroelectric dam construction site. Manuel was a Colombian citizen who had a job because of a U .S. Department of State rule prohibiting us from sending U.S. citizens to that site.

We referred to it as the Colombians are Expendable doctrine, and it symbolized an attitude I had grown to hate. My feelings toward such policies were making it increasingly difficult for me to live with myself.

"According to Manuel, they fired AK-47s into the air and at hi s feet," I told Paula.
"He sounded calm when he told me about it, but I know he was almost hysterical. They didn't shoot anyone. Just gave them that letter and sent them downriver in their boats ."
"My God," Paula exclaimed. "The poor man was terrified.
" "Of course he was." I told her that I had asked Manuel whether he thought they were FARC or M-I9, referring to two of the most infamous Colombian guerrilla groups.
"And?"
"He said, neither. But he told me that he believes what they sai d in that letter.
" Paula picked up the newspaper I had brought and read the letter aloud.
"`We, who work every day just to survive, swear on the blood of our ancestors that we will never allow dams across our rivers . We are simple Indians and mestizos, but we would rather die than stand b y as our land is flooded. We warn our Colombian brothers : stop working for the construction companies.– She set the paper down.
"What did you say to him? "
I hesitated, but only for a moment.
"I had no choice. I had to toe the company line. I asked him if he thought that sounds like a letter a farmer would write." She sat watching me, patiently.
"He just shrugged." Our eyes met. "Oh, Paula, I detest myself for playing this role ."
"What did you do next?" she pressed .
"I slammed my fist on the desk . I intimidated him. I asked him whether farmers with AK-47s made any sense to him. Then I asked if he knew who invented the AK-47."
"Did he?"
"Yes, but I could hardly hear his answer. A Russian,' he said. Of course, I assured him that he was right, that the inventor had bee n a Communist named Kalashnikov, a highly decorated officer in th e Red Army.
I brought him around to understand that the people who wrote that note were Communists."
"Do you believe that?" she asked . Her question stopped me .
How could I answer, honestly? I recalled Iran and the time Yamin described me as a man caught between two worlds, a man in the middle. In some ways, I wished I had been in that camp when the guerrillas attacked, or that I was one of the guerrillas . An odd feeling crept over me, a sort of jealousy for Yamin and Doc an d the Colombian rebels. These were men with convictions. They had chosen real worlds, not a no-man's territory somewhere between .
"I have a job to do," I said at last.
She smiled gently. "I hate it," I continued. I thought about the men whose image s had come to me so often over the years, Tom Paine and other Revolutionary War heroes, pirates and frontiersmen .
Haha you are lost. Wake up fool. Nimekuambi upo mdomoni pa jehanum. Roho ya kishetani inakuita, inatafuta tuu cha kuhalisha ulipofikia ili uingie kuzimu. Endelea kumtengeneza mgufuli juu ya hizi habari za kubuni.Wasaidie watu wengi kununua. KItabu cha hitler kimeuzwa na kinaendelea kuuzwa sana ktk nchi zenu hizo.
 
NATO walifanya nini Libya !? ...... mpaka OBAMA amekiri na ame coonfess kwamba the great mistake of his time, was to eliminate Gaddafi. Au ...hujui ?
Kwani hiyo km alifanya makosa ndio inamfanya Ghaddafi kuwa malaika?
 
Wewe ni bingwa wa red herring, usipotezee mada, nakuuliza unamfananishaje Magufuli na Torrijos?
wewe kenge kweli, ni km unataka lazima watu wenye akili wafananishe Kifaru na guta, kwa kutumia maelekezo ya mwandishi na stori zake alizoziandika kwa fikra zake. Halfu itasaidia kufananisha hao watu wawili?Itasaidia kuifanya serikali iendesheke?Au tayri umeshkata tamaa sasa unamjengea pa kudai kuhujumiwa? CCM inapoteza sana rasilimali za hii nchi na kubomoa kabisa. ndio maana sikuchukua muda wala kupepesa macho .Nimekuambia tuu live kwamba Ujamaa na CCM ndio shida hapa.
 
hiki kitabu cha economic hit man ukikisoma ni lazima uwachukie mabepari, extremist wanapatikana hata kwa kusoma vitabu kama hivi. nilikipenda sema maandishi yake madoogo yanaumiza macho sijui walikuwa wanabana matumizi ya karatasi na page!!
 
Japo pia nayo hii uliyosema inataka kupoteza muelekeo wa mkanasha labda mjinga mimi niulize swali. Tanzania ina ujamaa? CCM ni wajamaa? Swali bado nakuuliza unamfananishaje rais Magufuli unavyomjua wewe na Torrijos unavyomjua wewe? Kitabu nafahamu hujasoma hata unavyojaribu kupigapiga bado nguo inapwaya, haifichi uchi!
 
Wewe utakuwa na short circuit kichwani mwako !

Bandiwe, Bandiwe, hata kama,kuwa mvumilivu japo kidogo basi, wengine tunahitaji msaada zaidi kwani kazi ya Mungu haina makosa!
 
hiki kitabu cha economic hit man ukikisoma ni lazima uwachukie mabepari, extremist wanapatikana hata kwa kusoma vitabu kama hivi. nilikipenda sema maandishi yake madoogo yanaumiza macho sijui walikuwa wanabana matumizi ya karatasi na page!!

Inawezekana wanapatikana kupitia kitabu kama hiki, na wengine wanapatikana pia hata pasipo kusoma kitabu kama hiki. Lakini pia kitabu hiki kimekua kichochoe cha fikra na mitazamo mipya kuhusu dunia inavyokwenda. Wanaoweza kujitathmini wanafanya hivyo. Wasomi na wanazuoni pia wana kitumia kulinganisha hizi harakati zakuwafanya watu wawe raia wa dunia kwa sasana yaliyotokea miaka hiyo huko nyuma. Kwangu ni bado kitabu kizuri cha historia na kitabu chenye kuibua maswali ambayo dunia inapaswa kuyajibu
 
Japo pia nayo hii uliyosema inataka kupoteza muelekeo wa mkanasha labda mjinga mimi niulize swali. Tanzania ina ujamaa? CCM ni wajamaa? Swali bado nakuuliza unamfananishaje rais Magufuli unavyomjua wewe na Torrijos unavyomjua wewe? Kitabu nafahamu hujasoma hata unavyojaribu kupigapiga bado nguo inapwaya, haifichi uchi!
Kumbe naongea na mwehu Mkandala, wewe upuuzi ni km nyani na mahindi au kumfukuza fisi, ukicheza atakupotezea muda au kuvuta hadi msituni. Endelea.
 
Back
Top Bottom