Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Masimulizi ya John Perkins na hatima ya Magufuli

Nimesoma confession of Economic Hit man

Mimi huwa natumia this John Perkins master piece along with The Dead AID ya kwake Madam Dambisa Moyo

Ushaur Wa mwisho kwa Taifa ,ni tumuongezee ulinzi Magu maana Hawa Jamaa hawashindwi kutumia hiyo plan C endapo wanaona Jamaa anakuwa kikwazo
Haha...hii .Nchi bhana. Kwanini msitengeze kazi tangible aisee. Yaani mnatengeneza hu ujinga ili mpate ajira.Kweli ni shida. Tangu mwanzo nilisema ujamaa ni upumbavu sana. Ndio maana mnamtisha akienda ktk strong holds za CDM anatoa hotuba za hofu na zenye mambo ya kusakikika.Kumbe ni nyie ndio mna enegineer huo ujinga? Mnalinda vivuli vya vikra zenu, znazotokana na uongo mlioutengeneza wenyewe. Always CCM hutengeneza uongo wa kutosha waaminisha wao wenyewe kuwa ni kweli.tangu mwanzo kulikuwa na hizo dalili kwamba hakuna kitu mnachoweza jenga.
 
Pia hukuwahi soma KUWA IFIKAYO MBINGUNI NI ILE NYEMBAMBA? Sasa huo ugumu pia unahusiana na wembamba wa njia. We kajilipue tuu uwahi kwenda,we kimbizana na ibada kwa ushetani wa ujamaa udhani kwa vile ugonjwa uliouchagua ukakuacha masikini basi ndio utafika mbinguni. Nyie ndio mnaowazuia wengine kwenda Mbinguni nanyi mnaikosa, nyie ndio mnaosafisha kikombe kwa nje na kunywea kwa ndani kuliko kuchafu. SHIDA YOTE HII NI KWA VILE ULIACHA PROFESSIONA YAKO UKAMSUJUDIA CCM.Ndio maana sasa huna hakika ya kuishi bila kupiga porojo na kudandia mawazo makubwa ili ukaribie meza ya mashetani. Pathetic looser.

Usiende mbio sana mimi mwenzio nimelelewa katika ushetani, hebu nielekeze hasa pale aliposema ni vigumu kwa tajiri kuuona ufalme alimaanisha nini? Alimaanisha tajiri wa mali au tajiri wa roho, mtu asiyetukana wala kusengenya wala kusingizia wengine uongo? mimi nina profession mimi? nimeipata wapi?
 
Halafu nyinyi kwa akili hizi ndio mlikuwa mnataka mumpelekee mzee EL pale Ikulu. Kwa akili hizi ndio mlikuwa mnataka kuitoa CCM madarakani. Duh, haya ndio madhara ya wazazi kula vitu vilivyo expire kwa muda mrefu.
haha. Umeruka vihunzi?Si umesema imeandikwa sijui tajiri nini na nini..nimekupa mstari mwingine.Ndio shida ya kukariri mistari ukadhani unajua vitu.Hata hili la hiki kitabu umeshajianika unataka tengeneza hofu ili upate pa kupanda ushetani wako.huna akili yoyote wewe zaidi ya kujitengenezea ndoto za majinamizi na kutaka zilazimisha ziwe ziwaingie na wengine. Kwa CCM wanaweza kusikiliza na mwisho kukusogeza karibu ili ukawamalize kabisa. Sikunyimi kufanya huu upumbavu wako kwani tayari wewe ni teja wa huu upumbavu. Hivyo vitu vilivyo expire ndio hatuvitaki tena kwani CCM yako ndio ilivileta .Umeoza hadi hujui unaleta nini mezani. Upo very cheap sana.
 
Haha...hii .Nchi bhana. Kwanini msitengeze kazi tangible aisee. Yaani mnatengeneza hu ujinga ili mpate ajira.Kweli ni shida. Tangu mwanzo nilisema ujamaa ni upumbavu sana. Ndio maana mnamtisha akienda ktk strong holds za CDM anatoa hotuba za hofu na zenye mambo ya kusakikika.Kumbe ni nyie ndio mna enegineer huo ujinga? Mnalinda vivuli vya vikra zenu, znazotokana na uongo mlioutengeneza wenyewe. Always CCM hutengeneza uongo wa kutosha waaminisha wao wenyewe kuwa ni kweli.tangu mwanzo kulikuwa na hizo dalili kwamba hakuna kitu mnachoweza jenga.

Hatimae umelitaja suala linalokusumbua moyo mpaka kukufanya akili isifanye kazi na kufikiri vizuri. Suala la economic hit men halina chama, wakipiga wamepiga, deni la nchi linawahusu watu wote, linazihusu strongholds za chadema na weakholds za CCM. Watanzania wenye kufikiri uzuri inawapasa kutafakari kama kuna ukweli hata kidogo katika masimulizi haya ya Perkins na pengine kuona kama kuna mbinu nyingine inayotumiwa kutufanya tuendelee kuwa masikini. Katika kutafuta jawabu lazima tu prob na kutunga theories na kisha tuzipitie moja baada ya nyingine tujue nini hasa chanzo cha matatizo yetu
 
Usiende mbio sana mimi mwenzio nimelelewa katika ushetani, hebu nielekeze hasa pale aliposema ni vigumu kwa tajiri kuuona ufalme alimaanisha nini? Alimaanisha tajiri wa mali au tajiri wa roho, mtu asiyetukana wala kusengenya wala kusingizia wengine uongo? mimi nina profession mimi? nimeipata wapi?
Haha...unayo kichaa mbaya.Ndio shida ya kusoma vitabu vya watu ili ukabishane, hata chake huwezi kielewa. Sasa nikujibu lipi km swali unalitengeneza kipuuzi hivi. Unaanza swali ,unaweka maelezo tofauti,halafu unayaita maswali. pengine nikate hapo ktk "utajiri wa roho au mali", nikusaidie tuu utumie akili yako zaidi. Rudi pale ulipoambiwa "...huwezi tumikia mabwana wawili..".Halafu ujiulize mengi zaidi.
 
Hatimae umelitaja suala linalokusumbua moyo mpaka kukufanya akili isifanye kazi na kufikiri vizuri. Suala la economic hit men halina chama, wakipiga wamepiga, deni la nchi linawahusu watu wote, linazihusu strongholds za chadema na weakholds za CCM. Watanzania wenye kufikiri uzuri inawapasa kutafakari kama kuna ukweli hata kidogo katika masimulizi haya ya Perkins na pengine kuona kama kuna mbinu nyingine inayotumiwa kutufanya tuendelee kuwa masikini. Katika kutafuta jawabu lazima tu prob na kutunga theories na kisha tuzipitie moja baada ya nyingine tujue nini hasa chanzo cha matatizo yetu
utakuwa hopeless sana wewe.Hizi tumba unapiga hapa unataka jifanya kwamba hicho kitabu kinamhusu mkuu wa kaya, kwa kasi yake. Zaidi ya kujitengenezea ajira unaweza tuambia nini tena hapa. Sasa majibu ya kipumbavu sijui suala la economic hitmen halina chama. Si unanirudisha kule kule ulipokuwa ukikataa kwamba HICHO KITABU UNAKIAMINI KUWA FACT.

By the way ingekuwa kweli, unadhani km ghaddafi bwana wa viongozi wa kiafrica, ghaddafi na illusion yake kwamba alikuwa na nguvu sana.Nani atasimama Africa?ndio maana nimewaambia cheni upuuzi live your life now.Acheni kujitengenezea vivuli vya maadui na kuanza kimbizana navyo, siku akija adui wa kweli hamtosimama nyie wehu,
 
utakuwa hopeless sana wewe.Hizi tumba unapiga hapa unataka jifanya kwamba hicho kitabu kinamhusu mkuu wa kaya, kwa kasi yake. Zaidi ya kujitengenezea ajira unaweza tuambia nini tena hapa. Sasa majibu ya kipumbavu sijui suala la ecomonomic hitmen halina chama. Si unanirudisha kule kule ulipokuwa ukikataa kwamba HICHO KITABU UNAKIAMINI KUWA FACT.

Yes, kuna fact, zipo, zipo nyingi tu hizi ni baadhi tu

I see now that Robert McNamara's greatest and most siniste r contribution to history was to jockey the World Bank into becoming an agent of global empire on a scale never before witnessed . He also set a precedent. His ability to bridge the gaps between the primar y components of the corporatocracy would be fine-tuned by his successors. For instance, George Shultz was secretary of the treasur y and chairman of the Council on Economic Policy under Nixon , served as Bechtel president, and then became secretary of state under Reagan. Caspar Weinberger was a Bechtel vice president and genera l council, and later the secretary of defense under Reagan . Richard Helms was Johnson's CIA director and then became ambassador t o Iran under Nixon. Richard Cheney served as secretary of defens e under George H . W. Bush, as Halliburton president, and as U.S. vice president to George W. Bush. Even a president of the United States, George H. W. Bush, began as founder of Zapata Petroleum Corp , served as U.S. ambassador to the U.N. under presidents Nixon and Ford, and was Ford's CIA director.
 
siamini watu wanaotaka sahuri intelligensia yetu wana thinker wapuuzi hivi. Ndio maana viongozi wetu wakipanda majukwaa wanatoa maneno ya hovyo au yenye majungu ktk majukwaa watu wanasikiri vitu vingine au wanategemea mambo y akitaifa yasemwe. Kumbe ni hawa watu mabingwa wa kutengeneza story za kutisha wasioweza jumlisha issue, ili waonekane wamezuia bomba ya issue.
 
Domokaya sio kwamba sitaki waachia muuendelee tiririka huu upuuzi, la hasha nataka na wengine waweze pima mistari halafu mkiendelea na hekaya zetu poa. pengine mnaweza fikia mahali vichwa vikapoa na mawingu yakawa yamekwisha. mawingu yakiisha hata paka na mbwa nao hupungua veterinary centres.
 
Umeanza vizuri ukamaliza vibaya sana. Hivi kweli huo ulazima wa wengine kukutakiwa mema unatoka wapi km tayari ni mpinzani wako? Hivi ni lazima nyie muishi kwa fadhila za wengine au kuwataka wengine wawabembeleze kwa nguvu?Hivi wapi wajamaa mmejipa jukumu la nyinyi pia kuwatakiwa wengine mema..KUNA MTU KATI YENU KESHWAHI SEMA GOD BLESS AMERICA Zaidi ya kutaka misaada bila kusema asante. Ningumu sana watz na waafrica wengine kujitoa ktk ujinga wa CCM. CCM wanajilisha ujinga sana ,sasa wanaamini huo ujinga.

Strickly business kwenu ni kazi ndio maana MNA LALAMA ktk game mlioianzisha.

Kaka nimekuelewa vizuri sana kwenye paragraph ya mwisho, shida kwa serikali zetu za kiafrica hazijui na wala haziwekezi kwenye business, na hata watendaji wakuu wa wizara nyeti ni employees, hawajui hata kidogo principals za business na ndiyo maana wanasainishwa contracts kijinga.

Imagine yule waziri aliyefuta masomo ya biashara mashuleni, alikuwa na akili timamu yule na anaweza pambana na ulimwengu wa sasa wa hao ma EHM!!?
 
Domokaya sio kwamba sitaki waachia muuendelee tiririka huu upuuzi, la hasha nataka na wengine waweze pima mistari halafu mkiendelea na hekaya zetu poa. pengine mnaweza fikia mahali vichwa vikapoa na mawingu yakawa yamekwisha. mawingu yakiisha hata paka na mbwa nao hupungua veterinary centres.

Tiririka mwanangu na kweli watu watapima misitari kama ulivyosema. Mchango wako una faida kubwa hasa kwangu kwani naamini wewe unawakilisha mawazo na uwezo wa mamilioni ya watu kadhaa. Wengine pia wanafaidika na kuburudika na mawazo yako japo hupendi kujibu maswali
 
Torrijos was dead, but Panama continued to hold a special place in my heart.
Living in South Florida, I had access to many sources o f information about current events in Central America. Torrijos's legacy lived on, even if it was filtered through people who were not graced with his compassionate personality and strength of character. Attempts to settle differences throughout the hemisphere continued after his death, as did Panama's determination to force the United States to live up to the terms of the Canal Treaty .

Torrijos's successor, Manuel Noriega, at first appeared committed to following in his mentor's footsteps . I never met Noriega personally, but by all accounts, he initially endeavored to further the cause of Latin America's poor and oppressed. One of his most important projects was the continued exploration of prospects for building a new canal, to be financed and constructed by the Japanese.

Predictably, he encountered a great deal of resistance from Washington and from private U.S. companies. As Noriega himself writes :

Secretary of State George Shultz was a former executive of the multinational construction company Bechtel; Defense Secretary Caspar Weinberger had been a Bechtel vice president. Bechtel would have liked nothing better than to earn the billions of dollars in revenue that canal construction would generate ... The Reagan and Bush administrations feared the possibility that Japan might dominate an eventual canal construction project ; not only was there a misplaced concern about security, there was also the question of commercial rivalry. U.S. construction firms stood to lose billions of dollars.
 
One man whose star was rising over this Andean country was the exception to the rule of political corruption and complicity with the corporatocracy. Jaime Roldos was a university professor and attorney in his late thirties, whom I had met on several occasions . He was charismatic and charming.

Once, I impetuously offered to fly to Quito and provide free consulting services any time he asked . I said it partially in jest, but also because I would gladly have done it on m y own vacation time — I liked him and, as I was quick to tell him, was always looking for a good excuse to visit his country. He laughed and offered me a similar deal, saying that whenever I needed to negotiate my oil bill, I could call on him.

He had established a reputation as a populist and a nationalist, a person who believed strongly in the rights of the poor and in the responsibility of politicians to use a country's natural resources prudently. When he began campaigning for the presidency in 1978, h e captured the attention of his countrymen and of citizens in every nation where foreign interests exploited oil — or where people desire d independence from the influences of powerful outside forces .

Roldos was the rare modern politician who was not afraid to oppose the status quo. He went after the oil companies and the not-so-subtl e system that supported them. For instance, he accused the Summer Institute of Linguistics (SIL), an evangelical missionary group from the United States, of sinister collusion with the oil companies . I was familiar with SIL missionaries from my Peace Corps days . The organization had entered Ecuador, as it had so many other countries, under the pretext of studying, recording, and translating indigenous languages.
 
Roldos struck me as a man who walked the path blazed by Torrijos . Both stood up to the world's strongest superpower . Torrijos wanted to take back the Canal, while Roldos's strongly nationalistic position on oil threatened the world's most influential companies. Like Torrijos, Roldos was not a Communist, but rather stood for the right of his country to determine its own destiny. And as they had with Torrijos, pundits predicted that big business and Washington would never tolerate Roldos as president, that if elected he would meet a fate similar to that of Guatemala's Arbenz or Chile's Allende .
 
I was stunned by Roldos's death, but perhaps I should not have been . I was anything but naive. I knew about Arbenz, Mossadegh, Allende — and about many other people whose names never made the newspapers or history books but whose lives were destroyed and sometimes cut short because they stood up to the corporatocracy.

Nevertheless, I was shocked. It was just so very blatant. I had concluded, after our phenomenal success in Saudi Arabia , that such wantonly overt actions were things of the past. I thought the jackals had been relegated to zoos. Now I saw that I was wrong. I had no doubt that Roldos's death had not been an accident . It had all the markings of a CIA-orchestrated assassination . I understood that it had been executed so blatantly in order to send a message.

The new Reagan administration, complete with its fast-draw Holly wood cowboy image, was the ideal vehicle for delivering such a message. The jackals were back, and they wanted Omar Torrijos and everyone else who might consider joining an anti-corporatocracy crusade to know it. But Torrijos was not buckling. Like Roldos, he refused to be intimidated. He, too, expelled the Summer Institute of Linguistics, and he adamantly refused to give in to the Reagan administration's demands to renegotiate the Canal Treaty. Two months after Roldos's death, Omar Torrijos's nightmare came true; he died in a plane crash. It was July 31, 1981.
 
Washington's stated justification for the attack was based on one man. The United States' sole rationale for sending its young me n and women to risk their lives and consciences killing innocent people, including untold numbers of children, and setting fire to huge sections of Panama City, was Noriega. He was characterized as evil, as the enemy of the people, as a drug-trafficking monster, and a s such he provided the administration with an excuse for the massive invasion of a country with two million inhabitants — which coincidentally happened to sit on one of the most valuable pieces of real estate in the world.

I found the invasion disturbing to the point of driving me into a depression that lasted many days . I knew that Noriega had bodyguards, yet I could not help believing that the jackals could have taken him out, as they had Roldos and Torrijos. Most of his bodyguards, I suspected, had been trained by U.S. military personnel and probably could have been paid either to look the other way or t o carry out an assassination themselves .

The more I thought and read about the invasion, therefore, the more convinced I became that it signaled a U.S.
policy turn back toward the old methods of empire building, that the Bush administration was determined to go one better than Reagan and to demonstrate to the world that it would not hesitate to use massive force i n order to achieve its ends. It also seemed that the goal in Panama, in addition to replacing the Torrijos legacy with a puppet administration favorable to the United States, was to frighten countries like Iraq into submission. David Harris, a contributing editor at the New York Times Magazine and the author of many books, has an interesting observation . In his 2001 book Shooting the Moon, he states :

Of all the thousands of rulers, potentates, strongmen , juntas, and warlords the Americans have dealt with in al l corners of the world, General Manuel Antonio Noriega is the only one the Americans came after like this . Just once in its 225 years of formal national existence has the United States ever invaded another country and carried its ruler back to the United States to face trial and imprisonment for violations of American law committed o n that ruler's own native foreign turf.


Following the bombardment, the United States suddenly found itself in a delicate situation. For a while, it seemed as though the whole thing would backfire. The Bush administration might have quashed the wimp rumors, but now it faced the problem of legitimacy, of appearing to be a bully caught in an act of terrorism . It was disclosed that the U.S. Army had prohibited the press, the Red Cross, and other outside observers from entering the heavily bombed area s for three days, while soldiers incinerated and buried the casualties.

The press asked questions about how much evidence of criminal an d other inappropriate behavior was destroyed, and about how many died because they were denied timely medical attention, but such questions were never answered.
 
haha. Umeruka vihunzi?Si umesema imeandikwa sijui tajiri nini na nini..nimekupa mstari mwingine.Ndio shida ya kukariri mistari ukadhani unajua vitu.Hata hili la hiki kitabu umeshajianika unataka tengeneza hofu ili upate pa kupanda ushetani wako.huna akili yoyote wewe zaidi ya kujitengenezea ndoto za majinamizi na kutaka zilazimisha ziwe ziwaingie na wengine. Kwa CCM wanaweza kusikiliza na mwisho kukusogeza karibu ili ukawamalize kabisa. Sikunyimi kufanya huu upumbavu wako kwani tayari wewe ni teja wa huu upumbavu. Hivyo vitu vilivyo expire ndio hatuvitaki tena kwani CCM yako ndio ilivileta .Umeoza hadi hujui unaleta nini mezani. Upo very cheap sana.
Nimekutajia hiyo makala ya prof Hirji ili uweze kukuza uelewa wako, yo think you know everything but frankly speaking you know nothing. Kuwa tayari kujifunza mengi maishani ili watu wasije kudhani kuwa wewe ni mwehu.
 
Mkuu umenipa kitu cha ziada! Nimependa hapa mwanzo anavyoanza:-

" It is a riveting story that needs to be told, we live in a time of terrible crisis- and tremendous opportunity. The story of this particular economic hit man is the story of how we got to where we are and why we currently face crisis that seem insurmountable."

Haya majanga yote ya sukari etc hutengenezwa na hawa Economic Hit Man! Siyo lazima wawe wamarekani lakini pia tunaishi na tunalala nao hapa hapa Tanzania! Wanapita kila siku na tunapigia makofi na kuwaona watu wa maana kwel kweli ila usiku ni watu wa mipango mikali ya kuiangusha serikali!
Hawa jamaa wako high level... Zio kwenye micro issue kama sukari mkuu
 
Nyerere kwa akili za kijamaa na mafundisho yake ya kusaidia masikini hawezi ona shida. Ktk uhasilia masikini nae anatakiwa kuwa responsible. Wajamaa wanawalaumnu mabepari kwa makosa ya ujamaa wao. Wajamaa hata siku moja hawana msaada kwa mabepari kwa vile siku zote wajamaa ni masikini.Ni masikini kuanzia ktk akili.

wajamaa wakiona mabepari wamefilisika wanashangilia, wao wakiwa na na njaa na haiwaishi, wanawalaumu wajamaa. Ukweli ni kwamba wajamaa hufanya kazi za hasara kwa vile hawa malengo wala uhasilia, sio watu honest kwa nafsi zao.
Tehetehetehe maneno yako kama yana ukweli vile! yanafanana na halisi tunayoishuhudia,tatizo naona ujamaa ulikuwa ni kama imani vile so watu walioamini katika imani hiyo walikuwa wanaogopa kuikana wakati ushahidi wa kushindwa kwa hiyo imani kupo dhahiri.
 
Back
Top Bottom