Masikitiko makubwa..... Mtoto wa jirani yangu anatafuta namba ya simu ya Liyumba.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,689
8,844
Kwenye wall yake ya facebook kasema yuko serious anatafuta namba ya simu ya Amatus Liyumba. Eti amechoka kupanda madaladala.
Yaani najihisi baridi hadi kwenye mifupa
 
ndo manake we unadhani madaladala mazuri...mwache atafute bana
 
copy uitupie hapa JF wafadhili wapo wengi tu, copy fasta
 
Mi mwenyewe na kisuzuki changu nawavua sana, kama samaki vile. Kiulaiiiiiiiiini najimegea kuanzia watoto wa shule hadi mama zao.
 
jamani mi sioni cha ajabu,hakuna apendae shida duniani!!wadauuu msaidieni mtoto nae awasaidie!!
 
Mi mwenyewe na kisuzuki changu nawavua sana, kama samaki vile. Kiulaiiiiiiiiini najimegea kuanzia watoto wa shule hadi mama zao.

eeeh! Mungu umnusuru huyu kiumbe na moto wako hiyo siku ikifika, hajui alitendalo.
 
hadi hapa tunapoongea nasikia mtoto kashapata namba zake,kwani Lyumba kaambiwa na wapambe wake juu ya huyo mtoto,na jinsi ninavomjua Zege halilali leo kitu nyavuni,anapigwa chata then kesho anatembelea mkoko..tabu iko wapi sasa mtoto katoka...
 
Back
Top Bottom