Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,662
Nilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! almanusura nichanganyikiwe!

Sasa jana mchana nikasema nikimbie Mlimani City kwenda kununua kitu fulani, nikamuazima mwanangu gari lake (Range rover evoque) nikamuachia la kwangu (Hyundai Coupe Sports car).

Sasa wakati napark pale Mlimani nikasikia naitwa, kugeuka nakutana uso kwa uso na huyo bibie!

At first alikua kama ametahayari alivoona nashuka kwenye ile ndinga! Nikasalimiana nae vizuri tu, tukaongozana kuingia Mlimani ndani!

Akaanza kuning'ang'ania, ooh Amicus I missed you, leo sikuachi nakwambia, nikazunguka nae mule ndani, nikawa najiuliza mbona yeye hanunui, alifwata nini M/city? halafu alikua 'restless'. Nikajua kapanic akidhani ule mkoko ni wangu, alizoea kuniona na Hyundai yangu.

Mara ooh naomba tuongozane! wakati hajui naelekea wapi!

Sikuwa mkaidi, nikatoka nae, tukazama kwenye ndinga nikampeleka lunch! akawa analisifia sana gari! wakati tunasubiri msosi akaanza kunisimulia yaliyomsibu huku anabubujikwa na machozi! hadi watu wakawa wanatushangaa! na yeye ameachika almost the same way kama alivyoniacha!

Ananisihi turudiane, sasa naogopa asije akawa ameweweseka na ile range, tukarudiana akaja kuleta wenge tena akijua kwamba ule usafiri si wangu! Uongo haufai, kiukweli me bado nampenda.

Ni kama alikua anatamani kuniuliza kuhusu lile gari ila akawa anashindwa!

Jamani hebu nishaurini mwenzenu, nahisi bado nampenda coz tangu tuachane imepita miezi 6 tu ingawa nilikua nimeshaanza kumsahau. Halafu amezidi kuwa mzuri, amekatika vibaya sana!

Ananisumbua sana kwenye simu wajameni!

Yeye yupo Chuo pale Muhimbili anasomea Udaktari.

Nina uhakika hayumo humu JF coz nilimuuliza jana akasema yeye sio big fan wa mitandao ya kijamii kwasababu mara nyingi anapiga msuli, kwa kifupi shule yake ni ngumu sana.

Jamani nishaurini, kwa wale mtakao-comment naomba muwe serious...nataka kesho asubuhi nimpe jibu.
 
bongo movie...itengenezee movie utauza sana af part 2 yake itakuja pale utapo rud hapa nakuomba ushauri baada ya kibuti cha round ya pili
 
Kama bado unampenda kweli, kapimeni afya zenu, then go ahead.

kupima afya kutasaidia nini angali binti yuko chuo na jamaa yuko mtaani na hawana comitted relationship? yaani girl akiwa na jamaa alipata mwingine akammwaga jamaa, baada ya yeye kumwagwa sasa anarudi kwa jamaa, jamaa akirudi wakipima hawana, jamaa wa mtaani ataendelea kutafuta wa kupumzkia kipindi girl yuko bize na mitihani na girl huko anaweza ona jamaa bomba zaidi sasa hata leo wakiambiwa hawana vipi kesho. ? au wawe wanapima kila siku?
 
Utoto bwana shida sana.. Eiyer njoo huku ujionee huyu "mvulana" anaomba ushauri.
 
Last edited by a moderator:
kwanini we hukumwambia kama hilo gari sio la kwako? ungetafuta njia yoyote na kumuweka waz kuhusu hilo gari kama uliona alionekana kuzuzuka nalo. Anyway! kwakua bado unampenda, basi fungua ukulasa mpya na uendelee kula uzazi!! teh teh teh teh teh!!
 
Kama umeona kuwa yeye anakuzimikia na kagari kako hako ka range rover mueleze ukweli kuhusu hilo gari kuwa si lako halafu mwambie kama kweli anakupenda kwa dhati au anakutamani tu kama wewe unavyomtamani kisha ukiona majibu yake yakoje ndipo upime mwenyewe hapo upate uhakikia upo mwaya okoa mchuma huo uko jahazinini?

nilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! Almanusura nichanganyikiwe!

Sasa jana mchana nikasema nikimbie mlimani city kwenda kununua kitu fulani, nikamuazima mwanangu gari lake (range rover evoque) nikamuachia la kwangu (hyundai coupe sports car).

Sasa wakati napark pale mlimani nikasikia naitwa, kugeuka nakutana uso kwa uso na huyo bibie!

At first alikua kama ametahayari alivoona nashuka kwenye ile ndinga! Nikasalimiana nae vizuri tu, tukaongozana kuingia mlimani ndani!

Akaanza kuning'ang'ania, ooh amicus i missed u, leo sikuachi nakwambia, nikazunguka nae mule ndani, nikawa najiuliza mbona yeye hanunui, alifwata nini m/city? Halafu alikua 'restless'. Nikajua kapanic akidhani ule mkoko ni wangu, alizoea kuniona na hyundai yangu.

Mara ooh naomba tuongozane! Wakati hajui naelekea wapi!

Sikuwa mkaidi, nikatoka nae, tukazama kwenye ndinga nikampeleka lunch! Akawa analisifia sana gari! Wakati tunasubiri msosi akaanza kunisimulia yaliyomsibu huku anabubujikwa na machozi! Hadi watu wakawa wanatushangaa! Na yeye ameachika almost the same way kama alivyoniacha!

Ananisihi turudiane, sasa naogopa asije akawa ameweweseka na ile range, tukarudiana akaja kuleta wenge tena akijua kwamba ule usafiri si wangu! Uongo haufai, kiukweli me bado nampenda.

Ni kama alikua anatamani kuniuliza kuhusu lile gari ila akawa anashindwa!

Jamani hebu nishaurini mwenzenu, nahisi bado nampenda coz tangu tuachane imepita miezi 6 tu ingawa nilikua nimeshaanza kumsahau. Halafu amezidi kuwa mzuri, amekatika vibaya sana!

Ananisumbua sana kwenye simu wajameni!

Yeye yupo chuo pale muhimbili anasomea udaktari.

Nina uhakika hayumo humu jf coz nilimuuliza jana akasema yeye sio big fan wa mitandao ya kijamii kwasababu mara nyingi anapiga msuli, kwa kifupi shule yake ni ngumu sana.

Jamani nishaurini, kwa wale mtakao-comment naomba muwe serious...nataka kesho asubuhi nimpe jibu.
 
kupima afya kutasaidia nini angali binti yuko chuo na jamaa yuko mtaani na hawana comitted relationship? yaani girl akiwa na jamaa alipata mwingine akammwaga jamaa, baada ya yeye kumwagwa sasa anarudi kwa jamaa, jamaa akirudi wakipima hawana, jamaa wa mtaani ataendelea kutafuta wa kupumzkia kipindi girl yuko bize na mitihani na girl huko anaweza ona jamaa bomba zaidi sasa hata leo wakiambiwa hawana vipi kesho. ? au wawe wanapima kila siku?

Nlivosema go ahead( waendelee na mapenzi yao kama ni ya kweli). Kama kuna uongo watajua tu.
 
Mademu wa vyuo vya afya huwezi kaa naye in a relationship mkafika popote. Wana stress nyingi zinazowafanya wawe wepesi kuona kama wanazinguliwa pale anapoona humjali vile ye anataka. Labda awe amemaliza chuo. ni rahisi sana kupitiwa na mshikaji atakayemjali kidogo akiwa na stress zake. In short ni Padua kichwa. This is my 5 years experience with female medical students
 
Ivi unadhani unapendwa kweli? umeonyeshwa machozi ya mamba unajihashua.............
 
Bado mnaazima magari tu mpk leo?...vijana bwana.
 
Back
Top Bottom