Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Masikini Manji, kabanwa kila kona!

Mambo ya Manji na CCM wanayajua wenyewe..wanajuana kwa vilemba hao, kama waarabu wa Pemba.
 
Hapo sawa na bado huwezi kutoka huko sijui chooni sijui baani sijui wapi unasema kwa "nataka mnikodishie Yanga kwa miaka 10" ………… wakati wenzako wametumia miaka 60 kuijenga Yanga SC!. Acha dharau za ujuha rudi kwenu!
 
Saaaaafi na mbado

Mkuu;
Roho gani hiyoooo?? Hivi, unajua kuwa kuna watoto katika familia zilizo athirika na kitendo hicho?? Kama mzazi ndiye aliunga mkono wadhani ni halal mtoto mchanga kabisa ateseke?? Wewe, siogopi kukuita Shetwaniiiiii. Nenda kanishtaki mahakamani. Sina undugu na Menji wala QG. Sina undugu na Banyaani ila nawahurumia wale watoto wachanga watakao athirika na sakata hili
 
Back
Top Bottom