Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Mkuu unayakumbuka mazingaombwe?
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
selo ya wapi, keko au segerea, usikurupuke, uliza kwanza
 
Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Acha kuandika ujinga, waende!!! Je, waliowajiri utawaajiri wewe, kodi wanazolipa hata kama ni kidogo utafidia hilo pengo wewe? Sio ajabu kama unalipa kodi hardly haizidi laki tano Tsh. Hao unaosema waondoke kodi zao ni kuanzia mamilioni ya sh. Matajiri tuwambeleze ili wawe wazalendo na wakuze uchumi wa nchi yetu
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Wakiondoka wanatoa fursa ya wengine kukua.
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Huna ndugu aliyeathirika na hizo dawa ndio maana unaona hela za manji ni muhimu kuliko ndugu yako lakini ungekua na ndugu ukaona amekonda mpaka fuvu la kichwa halafu anaiba mpaka bakuli za plastic home akauze ili apate hela ya kununulia unga kwa huyo mtu wako huenda ungeelewa.
 
Kafanya nini cha ajabu tangu Lubuva amchague mimi sijakiona naona anafanya comedy tu na kusema sema maneno yasiyo na kichwa wala miguu
 
Kama yupo ndani kweli,sasa wale money confidencial kama yeye watajifunza! Pesa zipo benki yeye yupo sero,mpaka raha aisee!
hivi hujui kwanini bunge limechachamaa huko? , unaweza muweka mahabusu lakini bado hela yake ikaendelea kufanya kazi . hujaona tofauti kati ya walipotajwa wakina wema na walipotajwa hawa wa sasa . Achana na hela kitu kingine.
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Huyo mnayemshadadia siku atakapokuwa kwenye kabati muandike kama mnavyoandika leo! Siku zake zimeshapimwa hazitoshi kwenye kiganja na mda unakwenda mbio sana.
 
Kama wakitoa ushahidi kua manji yuko ndani nipigwe ban ya miezi 12,mbona kina t.i.d na wenzake tuliwaona wakiwa ndani why manji tuambiwe kwa maneno?
 
Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.

kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.

next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Kwani kulala sero issue? Mbona kawaida tu si ni mwanaume
 
Kazi ya polisi ni kuchunguza,wakiridhika wanapeleka kesi mahakamani, wenye uwezo wa kutafsiri sheria ni mahakama.Polisi haiwezi kuacha kumuhoji MTU ati kwakuwa ni wadini furani. Mkuu kwani waislam huwa hawavunji sheria,je miongoni mwa waislam hakuna majambazi, kwani waislam ni malaika mkuu?mbona kwenye suala la tegeta escrow hukulalamika kuwa wakatoliki wamefaidi kupiga huo mpunga?
 
Kama wakitoa ushahidi kua manji yuko ndani nipigwe ban ya miezi 12,mbona kina t.i.d na wenzake tuliwaona wakiwa ndani why manji tuambiwe kwa maneno?
Manji na ngwanjima wako nje na wako home wametulia tuli mpaka jumatatu.
 
Usikurupuke...kunamwenzio alitoka chooni hajachamba kisa kumwahi demu na akaachwa kisa mnuko!! Tunasema mapambano yawe ya kisayansi ili kuepuka kuumiza wasiokuwa na hatia ama ushahidi kufichwa ama wengine kutoroka kwamuda.ziko international tenders zinasitishwaga punde ifaamikapo tenderer anajihusisha/kuhusishwa na madawa.
We have to be smart sio kujidai rohongumu na fighter au kujitafutia ujemedari bila ushirikiano na other parties. Iwapo unahis jamaa atakomesha hiikitu mwenyewe kwa stail hii naomba utembelee mirembe mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…