Masikini anatamani kila mtu awe masikini

Masikini anatamani kila mtu awe masikini

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,269
Reaction score
16,652
Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.

Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.

Ila huu ukamataji 🙌🙌
 
Attachments

  • Ni kubaya.mp4
    9.1 MB
ila huu n ukweli, wengi hatupendi mwingine apate

na hata akijaaliwa kupata unatamani apoteze ama apate matatizo ili roho isuuzike tu

hata hao matajiri nao hawapendi tajiri mwenzao apate zaidi, yawezekana kuna matajiri washindani wake walifurahi pia
 
Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.

Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.

Ila huu ukamataji 🙌🙌
Maskini mda wote wanakuwa na hasira na wivu kwa tajiri.
 
Juzijuzi pia walishangilia wachimbaji madini kunyimwa ruzuku kisa Ile harusi ya katoro.
Nlishangaa sana wanampongeza Samia.

Mungu aniepushie hiyo roho
Ruzuku ya wachimbaji madini kwenye nini hasa ?
Waingize vifaa na mitambo bila kulipa kodi, serikali iwasaidie kununua vifaa, wasilipe kodi ya mapato ?
Hiyo ruzuku ilikuwa iweje hasa?
 
Back
Top Bottom