Masikini anatamani kila mtu awe masikini

Masikini anatamani kila mtu awe masikini

hivi hawa maskini wenye roho mbaya wako wapi? maana humu wanasemwa hao maskini kama vile watu wote humu mna maisha makubwa kama tirisho

humu 90% tuna maisha magumu mnooo sema kidogo tumepita fm 4 ndo maana kelele nyingi kumbe na sisi n wale wale
Wote ni kifulambute
 
Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.

Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.


Ila huu ukamataji 🙌🙌
Yes,
wewe si jeuri zaidi na wewe si unapesa zaidi na wewe si hutaki kufuata sheria,
basi lazima utii sheria kwa shuruti 🐒
 
Back
Top Bottom