RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,495
- 135,477
Ha ha ha unakuta masikini anakomaa kusema masikini wana roho mbaya! Oops hapa JF masikini ni mimi na wewe tu.hivi hawa maskini wenye roho mbaya wako wapi? maana humu wanasemwa hao maskini kama vile watu wote humu mna maisha makubwa kama tirisho
humu 90% tuna maisha magumu mnooo sema kidogo tumepita fm 4 ndo maana kelele nyingi kumbe na sisi n wale wale