Masikini anatamani kila mtu awe masikini

Masikini anatamani kila mtu awe masikini

Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.

Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.

Ila huu ukamataji 🙌🙌
Matajiri nao hawataki wenzao wawe matajiri kama wao
 
Kazi kweli..
Tuukatae umasikini mkuu, tena ile slogan yenu ya kutouza au kutotoa bure ifanyieni kazi, sisi wanaume hata ngada tuuze mambo yakiwa mob...
Masikini anadharaulika sana!
 
Tuukatae umasikini mkuu, tena ile slogan yenu ya kutouza au kutotoa bure ifanyieni kazi, sisi wanaume hata ngada tuuze mambo yakiwa mob...
Masikini anadharaulika sana!
Uzuri unaelewa utaratibu vzr, pesa mkononi mguu begani 😎
 
Back
Top Bottom