Je, Mashoga walilipia kibali cha Sherehe?

Kuna namna serikali inaweza kuwa inaunda MATUKIO makubwa makubwa hata kama yana "LAANA* nzito nzito ili Mradi tu kuchota AKILI za watu weengi kwa pamoja na kuzielekeza huko kwenye MATUKIO hayo, mbali Kabisa na masuala muhimu ya jamii hiyo yanatokea wakati huo huo sambamba na MATUKIO hayo

Mtu anaweza kupima ujinga kiasi gani kwa kubariki
 
Maadhimisho ya Mashoga yaliyofanyika buguruni , yallikuwa na kibali?
Sheri za jiji la Dar linataka sherehe yeyote kwenye ukumbi ulipie kibali katika manispaa husika, wao walilipa?
jiulize , jipe majibu.
Kuna muda huwa nawashangaa Watanzania kujisahaulisha mfumo wetu wa maisha. Wengine wanahoji kama intelijensia haikuwa na taarifa?
Sasa nawauliza kama sherehe zingefanyika kwa mafanikio katika intelijensia hii hii katika hali zifuatazo:

1. Hali ingekuwaje kama wapinzani wangekuwa wameandaa kikao bila taarifa?

2. Nini kingetokea kama sherehe ya kumuozesha binti mwanafunzi ingekuwa imeandaliwa kufanyika?

Mkijibu hayo maswali ndipo muanze kujiuliza, je, intelijensia ilikuwa haina taarifa na hiyo sherehe ya mashoga?
 
Kuna namna serikali inaweza kuwa inaunda MATUKIO makubwa makubwa hata kama yana "LAANA* nzito nzito ili Mradi tu kuchota AKILI za watu weengi kwa pamoja na kuzielekeza huko kwenye MATUKIO hayo, mbali Kabisa na masuala muhimu ya jamii hiyo yanatokea wakati huo huo sambamba na MATUKIO hayo

Mtu anaweza kupima ujinga kiasi gani kwa kubariki
Tz watu wake ni maiti zinazotembea, alisema Kenyatta Sr, wala hakukosea kabisa.
Lol
 
Kwa maana hiyo serikali ilitoa kibali ila wananchi kuandamana kwa amani hawataki kutoa kibali na ulinzi.

Nchi inaongozwa na mashoga?
Rais mzanzibar kwao wanafirana mpaka selo za polisi wakikamatwa unategemea nini?

Hapo lamda Yesu au Mhamad washuke ndiyo kitaeleweka tofauti na hivyo tutaona mengi zaidi
 
Ninachojiulizaga sana,, ni kwanini hawa wanaume wanaohalalisha kuingiliwa (mashoga) huwa wana-adapt personality ya kike??

Kuna uhusiano Gani Kati ya ushoga na uanamke? Kwanini Shoga lazima ajirembue avae Nguo za kike, aibadilishe sauti yake iwe ya kike....nk

Jee Kuna default setting ya ushoga Ambayo haiuhusiani na femininity??

Kwanini hii jamii inavamia personality or let's say behavior and psychology of females, Do these guys have their own unique and original identify???

Same applied kwa Mwanamke anaewasaga wenzake utaona lazima a-adapt male personality and behaviors , ataanza kuunguruma atakuwa mbabe nk why this??

If we say they are Deviants tutakosea???
 
Wako ******* wengine hawana hizo appearance, hata wale hormonal imbalances pia wanakua kawaida tu.
 
Umesema wapo wengine,,, Swali la Kwanza Hao wengine wasio na tabia hizo na mienendo hiyo Wao wanna tabia Gani?? Wao wanakuaje kuaje??

Na Mimi nasikiaga tuu Ila Sijawahi kuona shoga wa kiume asie na tabia za kike, hata hapo Juu nimeona hiyo clip ya hiyo inayodaiwa ni sherehe ya mashoga wote wanaonekana hapo wanafanya matendo ya kike, hata mavazi Yao ni ya kike.

Hata wewe mwenyewe humu Huwa ukiandika unaandika kikikekike una-urge kikikekike, na upande wako wa utetezi ni WA kike, kwanini?

Hii jamii ni kama vile inataka kusema gender ni zaidi ya male na female, Sasa ndio tunauliza watu hawa original and characteristic personality Yao ni ipi?
 
Sasa hao muscular gays utawajuaje km hujaoneshwa na wahusika wenzie au yeye mwenyewe kukuonesha?

Ila jua hao wapo na mnapishana nao barabarani kutwa kucha.
 
Back
Top Bottom