Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

Hizi ni dalili za nyakati za mwisho kwa kweli...wandugu maono yanatimia. Leo nimesoma kuwa Usiswi wako mbioni kuruhusu ndoa kati ya ndugu kwa kitaalamu incest....i cant imagine this abomination.
 
funny-cartoon-gay-soldier.jpg

Ha ha ha aha aaaaaaa!!! Kivumbi huko Iraq na Afghanistan.
 
West is worse, worse because christian faith is corrupt faith!

How on earth a Christian (Obama) and the entire cabinet christians allow this deadly thing!

Halafu wanacheka, JF christian wamo kwenye kundi hilo pia.

Hiyo ndiyo USA....maendeleo kwa kurudi nyuma....imefika hatua mtu anathamini mbwa au paka kuliko binadamu mwenzie...kisa eti huyo pet ni sehemu ya familia!
 
Wote mnaoponda hii ni wapuuzi tu. Ni ile ile tuliyowahi kuonywa, ukianza kumbagua shoga then utaishia wapi kubagua?utambagua mwingine kwa rangi ya ngozi,then wengine kwa upana wa pua, wengine sijui kwa ajili ya nini, mtasema oo huyu sijui muhindi, ooh huyu sijui hatoki Mwanza , ooh sijui huyu ana kipilipili.... Kwa hiyo nyie wote mnaobagubagua tu kwa sababu mnazozijua wote nyie ni wapuuzi tu. Ndio ni wapuuzi bisheni sasa.
 
Wengi wenu mna miss kabisa pointi ya ku repeal DADT! Mnawaona wenzenu kaa wendawazimu wakati wanapiga hatua ktk kuhakikisha kile kilichotamkwa ktk azimio lao la uhuru kuwa binadamu wote ni sawa kinatimia.

Wamarekani wako mbele sana kwenye kuhakikisha hakuna ubaguzi wa aina yoyote ile kwa na baina ya raia wao. Mwaka 1964 walitunga sheria ya Civil rights ambayo ili outlaw mambo mengi ya kibaguzi yakiwemo ubaguzi wa rangi na jinsia.

Sasa wamekabiliana na suala la ubaguzi wa mwelekeo wa kijinsia halafu ninyi mnawaona kaa wendawazimu! Yaani mnataka watu wenye mwelekeo tofauti wa kijinsia ambao wako radhi kuweka maisha yao hatarini kulilinda taifa lao wabaguliwe na wasipate fursa ya kulitumikia taifa lao? Come on guys. Hiyo si haki kabisa. Mashoga na wao ni binadamu kama wengine na wanastahili heshima kama wengine.

Halafu kwani kwenye jeshi la Tanzania hakuna mashoga? Nani hapa anayeweza kuja na kuthibitisha hilo? Au kwenye mishe mishe zenu za kila siku mna uhakika gani kuwa hamdili na mashoga? Hivi siku ukiumwa na uko mahututi na ukajua daktari anayekuhudumia ni shoga utakataa huduma yake? Acheni fikra za kibaguzi bana. Ubaguzi hauna nafasi kwenye jamii yoyote ile ilostaarabika.
 
Kioja ni wewe ndugu yangu! Malawi waliwafunga Wanaume waliofunga ndoa,Marekani ikawapiga pressure mpaka Rais akatoa msamaha!
unaona hapa jambo hilo haliwezi kutokea? Muulize Museven alivyohenyeshwa na mambo haya na hao Wamerekani baada ya kupropose adhabu kali juu yao!

Ni haki yako ya kidemokrasia hata kama ukiniona mimi KIOJA. Lakini ninachosema ni kuwa SI BUSARA watz kutukanana kwenye thread hii, eti kwa sababu ya mambo yaliyotokea kwenye jeshi la marekani. Tayari watu wamehusisha na masuala ya dini, na nivyojua ni kuwa ukiisha ingiza mambo ya dini, watu wanaanza kuwa IRRATIONAL ending up HURTING FEELINGS OF OTHERS. But if it is fine with you, endelea tu.
 
Hizi ni dalili za nyakati za mwisho kwa kweli...wandugu maono yanatimia. Leo nimesoma kuwa Usiswi wako mbioni kuruhusu ndoa kati ya ndugu kwa kitaalamu incest....i cant imagine this abomination.
kivipi sasa? bongo kuna mashoga wangapi wako saluni wanawasuka? au bata akinya kaharisha sio
 
hayo ni mambo ya ndani ya nchi yao.. sisi hayatuhusu.. ingekuwa ni bongo angalau tungekuwa na haki ya kupiga kelele...
 
Wengi wenu mna miss kabisa pointi ya ku repeal DADT! Mnawaona wenzenu kaa wendawazimu wakati wanapiga hatua ktk kuhakikisha kile kilichotamkwa ktk azimio lao la uhuru kuwa binadamu wote ni sawa kinatimia.

Wamarekani wako mbele sana kwenye kuhakikisha hakuna ubaguzi wa aina yoyote ile kwa na baina ya raia wao. Mwaka 1964 walitunga sheria ya Civil rights ambayo ili outlaw mambo mengi ya kibaguzi yakiwemo ubaguzi wa rangi na jinsia.

Sasa wamekabiliana na suala la ubaguzi wa mwelekeo wa kijinsia halafu ninyi mnawaona kaa wendawazimu! Yaani mnataka watu wenye mwelekeo tofauti wa kijinsia ambao wako radhi kuweka maisha yao hatarini kulilinda taifa lao wabaguliwe na wasipate fursa ya kulitumikia taifa lao? Come on guys. Hiyo si haki kabisa. Mashoga na wao ni binadamu kama wengine na wanastahili heshima kama wengine.

Halafu kwani kwenye jeshi la Tanzania hakuna mashoga? Nani hapa anayeweza kuja na kuthibitisha hilo? Au kwenye mishe mishe zenu za kila siku mna uhakika gani kuwa hamdili na mashoga? Hivi siku ukiumwa na uko mahututi na ukajua daktari anayekuhudumia ni shoga utakataa huduma yake? Acheni fikra za kibaguzi bana. Ubaguzi hauna nafasi kwenye jamii yoyote ile ilostaarabika.

Tigger hapa unajaribu sana kuwaelimisha watu, I admire that. One thing you have to know: wabaguzi ni watu wa kipuuzi sana, anything which is not like them basi sharti wabague, mtu akiwa different kulingana na wao basi lazima abaguliwe. These people are ****** and they can be found all over the world, katika miaka ya nyuma walikuwa wanajifunika vitambaa vyeupe usoni na kuwasha moto nyumba za watu weusi, mwaka 1994 walikuwa wanawafanyizia wananchi wenzao nchini mwao kisa sijui wana pua nyembamba na kabila lao ni hili badala la lile, mwaka huu wanaleta za kuleta eti hawa wana orientation nyingine apart from being straight, kesho watasema aah huyu amekaa miaka mingi sana nje ya nchi even though ni mwenzetu lakini sharti tumbague..., these people are ******. I wish I could meat them ana kwa ana and teach them some lessons.
 
The names I called these people were translated as ***, the *** means these people are Idio**ts
 
West is worse, worse because christian faith is corrupt faith!

How on earth a Christian (Obama) and the entire cabinet christians allow this deadly thing!

Halafu wanacheka, JF christian wamo kwenye kundi hilo pia.

Nd. Topical ushoga kama ulivyo uasherati, uzinzi, ufisadi na mambo yanayofanana na hayo hauna dini. Ni uchafu unaofanywa na watu wa dini zote na rangi zote. Sielewi kwa nini unahusisha ushoga na JF christian. This is the most myopic thinking I have ever come across today.
 
Hizi ni dalili za nyakati za mwisho kwa kweli...wandugu maono yanatimia. Leo nimesoma kuwa Usiswi wako mbioni kuruhusu ndoa kati ya ndugu kwa kitaalamu incest....i cant imagine this abomination.

sijakupata hapo ndugu yangu, unaweza kufafanua kidogo!
 
Nd. Topical ushoga kama ulivyo uasherati, uzinzi, ufisadi na mambo yanayofanana na hayo hauna dini. Ni uchafu unaofanywa na watu wa dini zote na rangi zote. Sielewi kwa nini unahusisha ushoga na JF christian. This is the most myopic thinking I have ever come across today.

mmmmh! mbona hao wanajisifia kuwa ni wakristo safi, kiasi cha kumshutumu Obama ya kuwa aliwahi kuhudhuria madrasa (Indonesia) leo iweje wanamshinikiza kwa mambo kama haya. Wanaogopa watu kuliko Mungu?
 
Nimechoka niliposikia hii kitu leo hakyanani dunia kuna mambo na tunapozidi kwenda mbele sijui tunaelekea wapi god forbid tena mtu unaweka sign ya kuhalalisha huku ukicheka kana kwamba hicho kitendo hata kwa mungu kinakubalika dunia hii ina mambo

Sasa hawa jamaa wakishika bunduki na kupiga si vitu vitakuwa vinashuka kwenye kombati?
 
Back
Top Bottom