Mashishanga chukua mtoto wako CHADEMA-Mbowe

Kauli ya mkuu wa mkoa wa zamani stephen mashishanga kuropoka ccm wamfukuze uanachama mh sabodo umethibitisha mpasuko ndan ya chama hicho..badala ya kuungwa mkono na wabunge wengi wamemgeuka na kumwambia yeye anatakiwa aondoke kwanza na kumwacha sabodo na ccm yetu;;

wa kwanza kujitokez an mh beatrice shelukindo alisema aoni umuhimu wa kumfukuza huyu kijukuu cha mtume kisa kutoa misaada upinzani ama kuchimba visima...akaenda zaidi akasema huyo mashishanga zaidi ya kujiongezea mangombe akiwa mkuu wa mkoa amesaidia nini wananchi zaidi ya wananchi kufurahia siku alipoondolewa

nae mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe alikosoa kauli ya mashishanga na kusema kweli mzee anazeeka mapema
akasema kauli yake inashangaza kwani mwanae yuko ni mbunge wa chadema vitimaalum na kusema wao wako tayari kwa maikono miwili kumpokea sabodo tena kwa matarumbeta ,kama kwelimzazi ataki upinzani basi aje kuchukua na mwanae huku chadema huku akicheka ...

Kwa niaba ya watanzania naomba mumsamehe mzee huyu maana si tatizolake ...........,anazeeka mapema sana

kwa habari zaidi nunu dira ya mtanzania

Kwa maelezo ya mh. Mbowe kumhusisha baba na mwana ambaye ni above 18, sijafurahishwa kabisa ingawa wanaJF wengi wameelemewa na upenzi wa CDM na viongozi wake wamekazana kumsifia tu. Hii ni kauli ya kibabe na yakumnyanyapa mtoto wa Mashishanga ambaye ni above 18 anayeweza kufanya maamuzi yake binafsi. Kwa hiyo unataka mtoto aende kumwambia Baba yake kwamba asiiseme vibaya CDM kwani ndipo alipo pata ubunge wa vitimaalumu?
 
Huyo Mzee ni bingwa wa kuropoka asha wahi kusema yeye na watu wake akimaanisha wananchi wa Mkoa wa Morogoro watamchagua Sumaye.....
 
Jamani, huo ni mtizamo wake. Tunaweza kukubaliana nae au tusikubaliane nae ... ila ni mtizamo wake.

Wakati JK anatafuta wadhanimini ili awanie nomination ya CCM, mzee huyu alifunga ofc na kutokomea ... hakwenda kumpokea JK. By then alionekana chizi kwani JK alipendwa sana na watu japo walikua hawawezi kueleza huo uzuri wa JK ulitokana na nini. Tokea mwanzo Mashishanga alishaona JK hafai.

Leo natamani tungekuwa na kina Mashishanga mikoa yote pengine tusingekua na hii tabu tunayoipata sasa hivi.
 
Kwa maelezo ya mh. Mbowe kumhusisha baba na mwana ambaye ni above 18, sijafurahishwa kabisa ingawa wanaJF wengi wameelemewa na upenzi wa CDM na viongozi wake wamekazana kumsifia tu. Hii ni kauli ya kibabe na yakumnyanyapa mtoto wa Mashishanga ambaye ni above 18 anayeweza kufanya maamuzi yake binafsi. Kwa hiyo unataka mtoto aende kumwambia Baba yake kwamba asiiseme vibaya CDM kwani ndipo alipo pata ubunge wa vitimaalumu?

Umechagua maneno yatakayokufariji. Kama mtoto wa Masishanga ni above 18,vipi Sabodo ni under 18 siyo?
 
Kwa maelezo ya mh. Mbowe kumhusisha baba na mwana ambaye ni above 18, sijafurahishwa kabisa ingawa wanaJF wengi wameelemewa na upenzi wa CDM na viongozi wake wamekazana kumsifia tu. Hii ni kauli ya kibabe na yakumnyanyapa mtoto wa Mashishanga ambaye ni above 18 anayeweza kufanya maamuzi yake binafsi. Kwa hiyo unataka mtoto aende kumwambia Baba yake kwamba asiiseme vibaya CDM kwani ndipo alipo pata ubunge wa vitimaalumu?
Alitaka mzee huyo ajue kuwa upinzani si uadui, hata mtoto wako anaweza kuwa chama tofauti na wewe kwa hiyo asihukumu wanao sympathise na opposition.
Kama hivyo basi amchukuwe binti yake kutoka chadema au naye afukuzwe kwenye chama chake!!!! Malezi yote na kumsomesha kote, kumbe alimtayarisha kuwa kamanda wa chama wa CHADEMA! lazima afukuzwe CCM au amchukuwe mwanawe au kumfuata mwanaye huko CHADEMA.
 
Kwa maelezo ya mh. Mbowe kumhusisha baba na mwana ambaye ni above 18, sijafurahishwa kabisa ingawa wanaJF wengi wameelemewa na upenzi wa CDM na viongozi wake wamekazana kumsifia tu. Hii ni kauli ya kibabe na yakumnyanyapa mtoto wa Mashishanga ambaye ni above 18 anayeweza kufanya maamuzi yake binafsi. Kwa hiyo unataka mtoto aende kumwambia Baba yake kwamba asiiseme vibaya CDM kwani ndipo alipo pata ubunge wa vitimaalumu?

bichwa lako ni gumu kuelewa, wewe mwenyewe umequote kwenye red kuwa mbowe alisema hivyo huku akicheka! yaani akili yako inashindwa hata kuhisi kuwa mr. mbowe was just kidding!? i pity you for that.
 
Jamani, huo ni mtizamo wake. Tunaweza kukubaliana nae au tusikubaliane nae ... ila ni mtizamo wake.

Wakati JK anatafuta wadhanimini ili awanie nomination ya CCM, mzee huyu alifunga ofc na kutokomea ... hakwenda kumpokea JK. By then alionekana chizi kwani JK alipendwa sana na watu japo walikua hawawezi kueleza huo uzuri wa JK ulitokana na nini. Tokea mwanzo Mashishanga alishaona JK hafai.

Leo natamani tungekuwa na kina Mashishanga mikoa yote pengine tusingekua na hii tabu tunayoipata sasa hivi.
MKUU UNAVYOBWABWAJA INAONEKANA WEWE ULIFAIDI SANA UONGOZI WA MKAPA. NDO ULIEKUWA UNASIMAMIA MRADI WA KIWIRA NINI? AU ANABEN BANK? SISI WENGINE TULICHOKA MBAYA KIPINDI CHA MKAPA NA HATUONI TOFAUTI NA kIKWETE. in short to me you wrote rubbish.
 
Kauli ya mkuu wa mkoa wa zamani stephen mashishanga kuropoka ccm wamfukuze uanachama mh sabodo umethibitisha mpasuko ndan ya chama hicho..badala ya kuungwa mkono na wabunge wengi wamemgeuka na kumwambia yeye anatakiwa aondoke kwanza na kumwacha sabodo na ccm yetu;;

wa kwanza kujitokez an mh beatrice shelukindo alisema aoni umuhimu wa kumfukuza huyu kijukuu cha mtume kisa kutoa misaada upinzani ama kuchimba visima...akaenda zaidi akasema huyo mashishanga zaidi ya kujiongezea mangombe akiwa mkuu wa mkoa amesaidia nini wananchi zaidi ya wananchi kufurahia siku alipoondolewa

nae mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe alikosoa kauli ya mashishanga na kusema kweli mzee anazeeka mapema
akasema kauli yake inashangaza kwani mwanae yuko ni mbunge wa chadema vitimaalum na kusema wao wako tayari kwa maikono miwili kumpokea sabodo tena kwa matarumbeta ,kama kwelimzazi ataki upinzani basi aje kuchukua na mwanae huku chadema huku akicheka ...

Kwa niaba ya watanzania naomba mumsamehe mzee huyu maana si tatizolake ...........,anazeeka mapema sana

kwa habari zaidi nunu dira ya mtanzania

Asante kwa taarifa, ila uwe unamaliza kwanza kicheko ndo uingie kupost maana hapa umekoroga mambo hata haieleweki ulikuwa unaiba komputer ya boss wakati akiwa lunch ama ulikuwa na glass ya ulabu mkononi.

Yaa ni kweli hawa wazee ndo wapiga kura wa CCM na ndo wanaondoka na CCM yao
 
Kauli ya mkuu wa mkoa wa zamani stephen mashishanga kuropoka ccm wamfukuze uanachama mh sabodo umethibitisha mpasuko ndan ya chama hicho..badala ya kuungwa mkono na wabunge wengi wamemgeuka na kumwambia yeye anatakiwa aondoke kwanza na kumwacha sabodo na ccm yetu;;

wa kwanza kujitokez an mh beatrice shelukindo alisema aoni umuhimu wa kumfukuza huyu kijukuu cha mtume kisa kutoa misaada upinzani ama kuchimba visima...akaenda zaidi akasema huyo mashishanga zaidi ya kujiongezea mangombe akiwa mkuu wa mkoa amesaidia nini wananchi zaidi ya wananchi kufurahia siku alipoondolewa

nae mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe alikosoa kauli ya mashishanga na kusema kweli mzee anazeeka mapema
akasema kauli yake inashangaza kwani mwanae yuko ni mbunge wa chadema vitimaalum na kusema wao wako tayari kwa maikono miwili kumpokea sabodo tena kwa matarumbeta ,kama kwelimzazi ataki upinzani basi aje kuchukua na mwanae huku chadema huku akicheka ...

Kwa niaba ya watanzania naomba mumsamehe mzee huyu maana si tatizolake ...........,anazeeka mapema sana

kwa habari zaidi nunu dira ya mtanzania
CDM mmewafukuza uanachama wale madiwani Arusha kwa kukubaliana na CCM kuunda serikali na kukubali unaibu meya. Je mmedumisha demokrasia mnayoitangaza kuidumisha//? a great talker is a great lier. naomba msinitukane. think twice. Shibuda mmemkosakosa kumtimua. haya angalieni kauli zenu. watanzania hawa vigeugeu,
 
Anajaribu kuzungumza ili JK shoga yake amfikirie kumpa posti nyingine maana life linazidi kumwendea kombo mtu mzima. Pole Mashi(mavi)-SHANGA the looser.
 
bichwa lako ni gumu kuelewa, wewe mwenyewe umequote kwenye red kuwa mbowe alisema hivyo huku akicheka! yaani akili yako inashindwa hata kuhisi kuwa mr. mbowe was just kidding!? i pity you for that.
Jazi ya nini? Ww upeo wako mdogo ndo maana unaona umeelewa sana kumbe hujaelewa kitu. Watu wenye upeo mdongo kama wako mara nyingi hutumia nguvu sana kujibu hoja na wala siyo akili. Kwa hiyo yote uliyoandika hapo yanaonyeshwa jinsi ulivyo. Good day
 
umechagua maneno yatakayokufariji. Kama mtoto wa masishanga ni above 18,vipi sabodo ni under 18 siyo?

kwa niaba ya jf nakutunuku phd aliotunukiwa kikwete hivi karibuni kwa kuwa uelewa natumaini alieleta hayo maneno atorudi tena kwenye hii mada
 
Ukimchunguza vizuri unaweza kuta anavaa shanga kiunoni na watu wa namna hii akuna haja ya kumjadili tena
 
kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake kwahiyo na mzee mashishanga katoa maono yake kwa upeo wake

Hatukatai mtu kutoa mawazo yake, ila inatakiwa atumie akili siyo masaburi!
 
Back
Top Bottom