beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,879
- 6,356
Akiwa ktk Msiba wa Mzee Ndesamburo huko Kilimanjaro, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt Vincent Mashinji amesikika akirusha dongo kwa msomi wa PhD (likely Magufuli) kwa namna ya mafumbo.
"Kuna watu wana Doctorate lakini wanatumia elimu zao kuharibu ajira, Ndesamburo ameitumia kutengeneza ajira kwa wengine", amesema Mashinji.
Je, huu ndio mwanzo wa 'nitoke vipi' ya Katibu Mkuu huyu mkimya!?