Mashinji: Kuna watu wana PhD lakini wanaharibu ajira badala ya kutengeneza

Akiwa ktk Msiba wa Mzee Ndesamburo huko Kilimanjaro, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt Vincent Mashinji amesikika akirusha dongo kwa msomi wa PhD (likely Magufuli) kwa namna ya mafumbo.

"Kuna watu wana Doctorate lakini wanatumia elimu zao kuharibu ajira, Ndesamburo ameitumia kutengeneza ajira kwa wengine", amesema Mashinji.

Je, huu ndio mwanzo wa 'nitoke vipi' ya Katibu Mkuu huyu mkimya!?
Hivi unaweza kuwa na PhD halafu usijue kingereza kweli??
 
Hakuna tofauti PhD,degree na masters,Wa degree anaweza kuwa mzuri kuliko wote,kwa masters na PhD za kukariri yaani ni Burr kabisa.
yani hata vyuoni ndo iko ivo,wanafunzi au mtu anasoma degree anakuwa na akili na busara kumzidi professor au doctor wake.
 
ukweli ndo huo Mkulu wenu Ana PHD ya magumashi na chanzo cha kumpoteza Ben saanane coz alikuwa anakosoa Phd yake
 
Back
Top Bottom