Wenyewe wanaita "personality" hiyo.
Mkuu huyu mwenye suti nyeusi kama namfaham, tumekua mtaa mmoja mara ya mwisho naondoka mbeya alikuwa anajihusisha sana na mambo ya habari. siwezi kusema ni mwandishi wa habari kwa sababu hakusomea ila jamaa alikuwa ni muongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya sana na watu wakubwa naweza kuita kipaji.
SONGWE INTERNATIONAL AIR PORT, (SIA) hili vumbi kweli hata pavement block zimekosekana?
Na utakuta mkandarasi kama akina Msopakyindi, ashakabidhi kazi.
Kwenye vitabu Project Cost 13.6 billion....!
Tatizo Mkuu, hakuna wakumnyooshea mwenzie kidole, hapa ni kuongozana vipofu mpaka watakapo tumbukia shimoni.Bila kuadabishana fedha za umma zitaendelea kutafunwa bila huruma na kubaki nyuma kimaendeleo. Ukiwa na uongozi usiojiamini matokeo yake ndi haya, wahalifu wanafanya wanavyopenda halafu mwisho wa siku utasikia kuanzia sasa serikali haitavumilia tena.
nwdayz ni mshereheshaji pande hzo,tukiwa wadogo alikitamani sana kitambi extent alikunja upindo wa kaptura kwa ndan ili aweze kuvalia surual kipapaa.pia cku za pasaka kaigiza sana maigizo ya kuteswa na kufa kwa yesu kanisa ya morovian mbeya.nwayz hongera zake.
Ha ha Baba Junior tumekua mtaa mmoja naona lol. yaani kila ulichosema ni kweli kabisa
Anaitwa Mwakipesile kama sijakosea yuko busy sana na matamasha hlf anajifanya ni repoter wa baadhi ya vituo vya redio kimsingi jamaa anapiga domo sana kwa mkuu wa mkoa anaingia kama kwake lkn hana cheo chochote Mbeya.