Mashindano ya VITAMBI ~~~Bongo~~~

Mashindano ya VITAMBI ~~~Bongo~~~

Anaitwa Mwakipesile kama sijakosea yuko busy sana na matamasha hlf anajifanya ni repoter wa baadhi ya vituo vya redio kimsingi jamaa anapiga domo sana kwa mkuu wa mkoa anaingia kama kwake lkn hana cheo chochote Mbeya.

Ndio Mkuu anaitwa Charles Mwakipesile kwa kweli jamaa ana kipaji cha kuongea na kujipendekeza. nimemkubali kwa hilo.
 
Back
Top Bottom