Mashindano ya miss Tanzania.

Mashindano ya miss Tanzania.

Haya mashindano ya miss Tanzania kwa sasa ni takataka kabisa , binti ana masikio kama popo au kama ya min hapa anashinda ,eti awe anajua kingereza tu , takataka kabisa.

Mtu ana komwe lakutisha anashinda eti🤔, mashavu kama puto nae anaibuka na ushindi kabisa🤣

Waandaaji wa hayo mashindano wajifunze kwa India, ufilipino na American .

Mtu kuwa mweusi sio kigezo cha kushinda miss Tanzania nyumbu nyie , tutawakumbuka sana kina faraja kota na wema sepetu enzi zao🥲
nje ya mada nini maana ya Boy sunche
 
Ila shindii siku hizi una gubuu🙆‍♂️🙆‍♂️🤣
 
Ila kitu ambacho hujajua mkuu mashindano ya Umiss sio mashindano ya kutafuta msichana Mzuri,..urefu,confidence,,Uwezo wa kuwasiliana na intelligence,.ucheshi and vitu kama hivyo,..sio Uzuri
 
Picha iko wapi ya huyo mwenye komwe wengine hatujamuona
 
Ila kitu ambacho hujajua mkuu mashindano ya Umiss sio mashindano ya kutafuta msichana Mzuri,..urefu,confidence,,Uwezo wa kuwasiliana na intelligence,.ucheshi and vitu kama hivyo,..sio Uzuri
Ikawaje nchi nyingine wakapatikana wazuri?
 
Back
Top Bottom