cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,120
Wakati mdogo wake rostam alitembea tuu hizo kesi ni za maskini.Siku ya mazishi yake ndg watakamatwa kwa uhujumu uchumi, yule jamaa kafungwa 20ears kwa kupatikana na maini ya swala tu.
Ije kuwa ngozi ya chui? Ila wana mawe maana kumuwinda chui Dume inafika $30000.
Huyu wakoloni hawakufanikiwa kum brain wash.
Una hakika huo ufufuo upo kweli au umelishwa matango ya pori tu?Hayo ni yake bwana Munuo siku ya ufufuo ndiyo atajua hakujua kuna msemo ni heri uamini kuna Mungu halafu usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu halafu uje ukutane naye hapo ndipo patakuwa kilio na kusaga meno
Hapa sijaelewa4. Kaburi lake litawekwa Kinyesi cha ngombe tu bila udongo
Nilifanikiwa kuongea nae sana hasa mambo ya dini. hakuyakubali kabisaaaa.....Yeye alikuwa akisisitiza kila jamii ina nabii wake.
Aliamini kuwa "Yeye alikuwa Nabii kwa Wabantu..
Kikwetu tunasema "lakum diynukum waliyadiin".Endelea kuamini unachokiamini nami niendelee kuamini ninachokiamini.
Ndiyo nina uhakika kwa imani yangu ktk maandiko matakatifu (Biblia)Una hakika huo ufufuo upo kweli au umelishwa matango ya pori tu?
Unaweza kuthibitisha ufufuo upo kweli?
Wakamatwe hiyo ni nyara ya serikaliHiyo ngozi ya chui ipo wapi kumbe na wasomi ni washikina?
[emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi nilifikiria kama wewe.Heading imevuta wengi kuja kulalamikia changamoto ya upumuaji wakakutana na ngozi ya chui badala ya barakoa na maji tiririka
Totalmadness
Hakusoma shule za misheni huyu (nawaza tu)Huyu wakoloni hawakufanikiwa kum brain wash
Sahihi kabisa.Kikwetu tunasema "lakum diynukum waliyadiin".
Unaelewa kwamba ukiwa na imani maana yake huna hakika?Ndiyo nina uhakika kwa imani yangu ktk maandiko matakatifu (Biblia)
1 Wathesalonike :4:16
Maana patatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya tarumbeta ya Mungu, naye Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni. Ndipo wale waliokufa wakiwa wanamwamini Kristo watafufuliwa kwanza.
Alikuwa kiongozi wa wachawi ndio maana aliitwa Lordnashangaa tu jamaa linaitwa LORD? Wachagga mna mambo!!
Hiyo tafsiri yako ya imani kwangu ni kinyume kwa mujibu wa maandiko matakatifu (Biblia) tuisome hapaUnaelewa kwamba ukiwa na imani maana yake huna hakika?
Thibitisha ufufuo utatokea.
Hahaha hii hata mimi nilifikiria ametuweza kweliHeading imevuta wengi kuja kulalamikia changamoto ya upumuaji wakakutana na ngozi ya chui badala ya barakoa na maji tiririka.